FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu referee Matheo Lahoz nimeamini kabisa hatupendi Barcelona na ni Madrista

Tusi zito limfikie atakalala huko,who straight red card?upaa wake kama nyumba ya babu
 
Huyu referee Matheo Lahoz nimeamini kabisa hatupendi Barcelona na ni Madrista

Tusi zito limfikie atakalala huko,who straight red card?upaa wake kama nyumba ya babu
Huyu refa sijui ana nini na Barca, hakunaga jema, usiombe achezeshe El Classico.
 
Huyu referee Matheo Lahoz nimeamini kabisa hatupendi Barcelona na ni Madrista

Tusi zito limfikie atakalala huko,who straight red card?upaa wake kama nyumba ya babu
Fala sana alitamani iwe ndani ya BOX atoe penati
 
Barca mmenifurahisha sana 👏 👏 👏 japo defence yetu nayo hoi 😔 Shukran zimfikie goal keeper bora wa dunia kwa sasa, jamaa kaokoa sana...

King, Mungu anakuona ujue 😀😀..Dembele umepiga mpira mzuri sana, kaza buti babaa.
 
Kwa ukosefu wa utulivu wa washambuliaji wa timu pinzani hii mechi ingepata watu wanaojua kazi zao ingeisha kwa 4-4 au 4-3 ...

Tujiangalie ....EV ajiangalie mabeki wajingalie
 
Semedo,siku zote akicheza hivi Barca hawezi pata shida-fullback Barca ina maana unashinda kwenye half ya opposition.
Semedo a forage mbele na J Alba nae ashinde mbele-nobody can hold us down.
Duuh!!! Dembele akitazama that open goal he missed,lazima alie machozi
 
Inatakiwa messi akistaafu jezi namba 10 isitumike maana hakuna atakae ibeba
Kbs ayo ndo uwa mawazo yng kwa heshm ya mchezaj bora wa muda wote jezi namba 10 watakiwa waitoe kbs. Sema ss sheria za la liga ngumu sna kustaafisha jezi
 
Jersey haiwezi kustafu hasa namba 10, japo heshima ya hiyo jersey inabaki kutambulika..

Number haiwezi badilika isipokuwa majina hubadilika...

Jersey ya Messi itatundikwa kama kumbukumbu na watakaokuja watavaa namba 10 wataweka nao history zao...

Kuna namba wachezaji wakizivaa zinawapa motivation mfano 11,10, 9, 8, 7, 6, nk huwezi kuziacha kuzitumia

Messi alikabidhiwa namba 10 na Ronadinho nayeye hivyohivyo kwa heshma ataikabidhi kwa mtu ambaye atadhani anaweza fit na hiyo namba..

Heshima siyo kuiweka jersey isitumike ila ni kuwapa wachezaji wenye sifa za hiyo jersey na kutambua wajibu wao..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…