Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Kbs mkuu.. Anatuchoma sana mzee na sik iz anapoteza mpr kirahic inakua tabu balaa tunaanza kusakwa kama weziWell said mkuu, Busquets apumzishwe tu. Awe anatokea Sub Strategically tu
Gemu ya Inter Juzi hadi Valverde mwenyewe alimuona jinsi alivyozidiwa akampiga Sub
Huyu ndo mpumbav.. Yan bora hao wengne wabaki lkn Valverde ndo aanze kuondoka hakuna m2 anafelisha hii team na tactics zake za kipumbav ka huyu mzeeSio Busquets tu, na Valverde pia.
Mimi mkuu nawaambia watu akipatikana kocha akawa anawaamini awa vijana kwny midfield😀e Jong(anacheza 6 ya Bosquets), Arthur(no8 ya Iniesta) na Alena.. Hawa vijana ukiwapa trust na kuwaamin wanaweza Saidia team wata deliver.. Kuliko kua unangangania magari ya mkaa ambayo yamechoka kila sik yanatuchoma tu.. Vidal kwng ni backup mzr sna tena sna wa kikosi ktk midfield jamaa ukimpa kazi atafny kwa roho moja kbsa bila matatzHizi twins arthur na de jong zinatembea hatari kama wamekaaa academy moja..... Ngoja wapate kocha ndio dunia itajua balaa lao sio huyo kazi kuchuchumaa na kusimamia mazoez
Hafananishwi na yeyote lifikiapo swala la footballHa haaa alafu wanakuja kumfananishs na vitu vya kijinga...hawako serious hawa
Hahahahahaha valverde anaboa aiseee, huyu De Jong ni mkali jamani.Hizi twins arthur na de jong zinatembea hatari kama wamekaaa academy moja..... Ngoja wapate kocha ndio dunia itajua balaa lao sio huyo kazi kuchuchumaa na kusimamia mazoez
Tumemnyonga interWazee wa Catalonia inakuaje ..vip maendeleo ya timu yetu, na mda sijaingia apa mazee. .
ushawishi wa messi huuTetesi zinasema huyu jamaa anaweza akawa kocha wa. Barça View attachment 1223553
Mimi mkuu nawaambia watu akipatikana kocha akawa anawaamini awa vijana kwny midfield😀e Jong(anacheza 6 ya Bosquets), Arthur(no8 ya Iniesta) na Alena.. Hawa vijana ukiwapa trust na kuwaamin wanaweza Saidia team wata deliver.. Kuliko kua unangangania magari ya mkaa ambayo yamechoka kila sik yanatuchoma tu.. Vidal kwng ni backup mzr sna tena sna wa kikosi ktk midfield jamaa ukimpa kazi atafny kwa roho moja kbsa bila matatz
Wazee wa Catalonia inakuaje ..vip maendeleo ya timu yetu, na mda sijaingia apa mazee. .
Yule mapafu ya mbwa na anafanya kazi uliyompaHao ulowataja kwa sasa wako fire kamanda...hilo jambazi la CHILE acha kabisa...babu anatuangusha kumweka bench
Match ya kesho,Dembele akae kushoto,Messi kulia,kati Griezman-Suarez akae bench.
Tunataka tumuone Griezman-is he being played out of position? OR is he another Cotinho?
je coutinho bayern anafanya nini now?Match ya kesho,Dembele akae kushoto,Messi kulia,kati Griezman-Suarez akae bench.
Tunataka tumuone Griezman-is he being played out of position? OR is he another Cotinho?
Cou ni bonge ya mchezaj.. Sema kuna mamb makuu ma2 nafas ambayo yy anapenda kucheza ni Nafas ya Messiah, kwhy ilo halina hata mjadala hawez kucheza pale.. Cha pili, tuna kocha mpumbav mwny tactics za kishenz sna hawez nyumbulika kuweka kuAccomodate wachezaj kama Cou kwny kikosi maana hana mbinu mbadala..ndo maana Cou kashndw kufaulu barca lkn Cou ni world class playerje coutinho bayern anafanya nini now?
Kama tumeweza mfunga Conte maana ni kocha hatari sana kwa kukaba basi kikosi kitaenda furesh ..hope msimu huu uefa itatua Catalonia aiseTumemnyonga inter
Natabiri...vardes hafiki tuesday atakua kasha timuliwa camp nou