FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Busquets asiwe anaanza De jong ni fundi...
Vidal kiungo mkabaji asante..lakini bado tumshukuru mungu kwa kutupa mchezaji bora na dunia La pulga zile move za magoli yale hasa la pili...lazima wakubali ! Hili li Suarez linatakiwa lipate tiba moja kama ya ushauri nasaha hivi kweli wengi tunaliona mzigo lkn likibahatisha huwa linabahatisha kweli kweli...
Nani kama messi ?
 
Ronaldo
 
Barca akishakuwa a goal behind mateso kwa fans yanakuwa makubwa-game tuna dominate lakini no goals
Hivi haiwezekani Griezman akacheza nyuma ya Suarez alaafu Messi akazunguka zunguka-I have this feeling Griezman is not being positioned properly
its not a feeling position anayochezeshwa Grizzman haitamfaa kamwe, ile inamfaa mtu anayetumia mguu wa kulia..

Mj ningesuggest messi ahamie false no 9, tuanze kushoto Dembele, kulia Grizzy, katikati Messi, hao wote wana uwezo wa kubadilishana watakavyo kuliko kuanza na Suarez ambaye muda wote anasubiri mpira uje ikitokea wenzake wamebanwa kama kipindi cha kwanza (mechi na inter) na yeye anapotea.
 
Bosquets ana slow sna game na anatkiwa apewe much resting time Vidal awe anaanza mda mwngne Rakitic
Ilishawahi kuzungumzwa humu, Busquets ana mpira wa kupooza, yupo tayari arudishe pasi nyuma ili tu mwisho wa mechi aonekane hajapoteza pasi.

Busquets hawezi kurisk pass, hii ndo shida yake. Na ana mpira wa slow sana, zile one two kwenda mbele siku hizi hana. De Jong na Arthur hizi ni mashine mpya, hawa watoto mpira wanaujua mno.
 
Watu wengne hawatak kukubali lkn Bosquets sio tena m2 reliable mda wake unaisha na iyo nafas yake De Jong anaweza kucheza vzr kbs maana ndo anapenda kucheza hata akiwa Holland
De Jong akae ile nafasi na pia Arthur awe anaanza, ubaya unakuja kwamba tulimtoa Coutinho, angepata namba pale kati.

Busquets, Pique hawa mpira umeshaisha, wanachezea uzoefu tu. Na yule lenglet muda mwingine anazingua, sio beki ya kuiamini sana. Pale mashine ni semedo na walau roberto, sio rahisi kupoteza mipira hawa na wapo tayari kujaribu kwa namna mbalimbali.
 
Busquets siku hizi anacheza kama father mule ndani.
 
Pique anabebwa na uzawa na uhitimu wa La Masia tu hana lolote
 

Hakuna kama Messi tokea soka lianze kuchezwa hapa ulimwenguni 😊 😊 😊 I'm so proud kuwa fan wake/Estoy tan orgullosa de él
 
Kweli lenglet pale tatizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…