Kocha huyu wa kutolewa.Bookmakers Spain,match za Barca nyumbani wanalipa hela ndogo sana-sababu wanajua Barca anacheza mpira akiwa nyumbani.Za ugenini wanajua Barca ni hopeless hence wanaweka hela nyingi-This shows how the mighty have fallen.
Leo tena nitamwangalia Griezman-is he value for money?OR has Barca been shortchanged.
They jury is still out,the Verdict very soon
Kimsingi inabidi apewe maana hata wakisema wampe mwingine itakua haina mantikiBallon d'or inanukia.
Kinachozigharimu timu nyingi ni kuchelewa kufanya maamuzi ya kumfukuza kocha. Leo tunaambiwa tokea mwaka 1994 mwaka ndo mara yao ya kwanza kupoteza point nyingi za mwanzoni mwa ligi. Tokea 2004 timu ilikua haijawai ziwadiwa katika kumililiki mpira uwanja lkn msimu huu wa 2018/2019 kuna mechi timu ilionyesha uwezo mdogo wa kumiliki mpira dhidi ya timu pinzani. *pamoja na dalili za wazi kua kocha anaipeleka timu shimoni lakini viongozi wamelala tu*
Ballon d'or inanukia.
Naskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.A loss tonight,surely surely Velverde will have to go
mechi mbili za nini kwa shoga kama uyoNaskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.
mechi mbili za nini kwa shoga kama uyo
Watakua wamefanya kosa koz wachezaji watafanya kusudi ili aondoke,kama wakiamua kumtimua wamtimue tuNaskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.
Mechi mbili kivipi, kushinda kwa La Liga anaweza akashinda, ndani ya miaka 12 Barca amekuwa akitawala La Liga, Barca hajawahi kuifikiria La Liga isipokuwa UEFA tu.Naskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.
Saa 4 kamili usiku.Hivi game saa ngapi kick off ? Maana wengine tupo bado kwenye jam saa hii
Naskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.
A loss tonight,surely surely Velverde will have to go
Naskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.