FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Usije kushangaa ukatokea msiba tena kama huu uliopita.,ligi inazidi kwenda Barca ndo inazidi kushuka chini 😕😕
Valverde hana mbinu za kuinoa Barcelona kabisa huyu..,na akizidi kubani hali ndo itakavyozidi kuwa mbaya.
 
Nakunga mkono hoja, ni kutimua Valverde haraka iwezekanavyo, bora Luis Enrique aweze kurudi au mtu mwingine yoyote yule lakini sio huyu mzee.
 
Valverde ni kituko pale Barca.
 
Kinachozigharimu timu nyingi ni kuchelewa kufanya maamuzi ya kumfukuza kocha. Leo tunaambiwa tokea mwaka 1994 mwaka ndo mara yao ya kwanza kupoteza point nyingi za mwanzoni mwa ligi. Tokea 2004 timu ilikua haijawai ziwadiwa katika kumililiki mpira uwanja lkn msimu huu wa 2018/2019 kuna mechi timu ilionyesha uwezo mdogo wa kumiliki mpira dhidi ya timu pinzani. *pamoja na dalili za wazi kua kocha anaipeleka timu shimoni lakini viongozi wamelala tu*
Guadiola
Simion
Pochetino
Klop

Timu kubwa na tajiri duniani lakini yameshindwa kuchukua kocha kati ya hao...spurs, liver na atletico wameweza sisi tunakwama wapi!!!
 
Bookmakers Spain,match za Barca nyumbani wanalipa hela ndogo sana-sababu wanajua Barca anacheza mpira akiwa nyumbani.Za ugenini wanajua Barca ni hopeless hence wanaweka hela nyingi-This shows how the mighty have fallen.
Leo tena nitamwangalia Griezman-is he value for money?OR has Barca been shortchanged.
They jury is still out,the Verdict very soon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…