FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

JAMANI ROAD TO BALLON D'OR AND FIFA BEST MAN JEE TUNA MATUMAINI NA MESSI ??!!!!
MAANA NAONA KM VAN DIJK KESHAPEWA BALLON D'OR VILEE!!!!
 
Neymar anasisitiza kuhama kuja barca.
Inaonesha haridhiki kukaa PSG tena wakimlazimisha unategemea atacheza kwa kiwango si atacheza bora liende huku akiwa anakula mshahara km kawaida??!!!
Si ni sawa na kuondoka tu kaka??!!

Kumbuka yule tajiri wa PSG aliapa kuwa hata asipocheza aendelee kusugua bench tu hata mwaka mzima
 
Yale yale ya Modric mtu anapewa tuzo hadi mwenyewe anajistukia
Mmmmh modric usimfananishe na huyo beki tatu aisee.
Modric alisomba nyingi DIJK wala hapati nyingi.
Maana ana tuzo ya beki bora EPL na uefa na mchezaji bora uefa kamaliza kaz tuzo tatu tu.
Messi mchezaji bora laliga,mfungaji bora laliga,ana European golden boot,ana Uefa golden boot kwa kuwa best forward,ana pichichi award.
Wakuu huyu mtu anakosa kweli FIFA best man player au ballon d'or???!!!!!!
Wampe tu messi bhanaaaa.
 
Wataona aibu kumnyima
 
Radhaa ya wachezaji bora itarudi mpaka pale wachezaji wa muda wote watakapo toweka katika ulimwengu wa soka, bila hivyo wataendelea kuwa vichwani mwa watu...


Messi na CR7 wamefanya wachezaji wengne hata pale wanapomaliza msimu vzr waonenkane hawakustahili as long as wao wapo na wanaendelea kushine.

Ili usawa uwepo wa hizi tuzo hawa watu wasishiriki

Wakati mwingne huwa nawaza why bado wanashindanishwa?


FIFA ingewawekea tu tuzo za heshma ambazo zitafanya wao wawe wanahudhuria kila mwaka


Ukiangalia Messi kila msimu yuko
yaani kila msimu unaona kabsa anastahili kuchukua uchezaji bora so unapomchagua mtu mwingne, yule mtu Anachukua lakini hawezi kusema yeye ni bora kumzidi Messi au Ronaldo.

Lakini kwenye vigezo hawa watu wanashinda isipokuwa ukitaka kuwalinganisha na hawa jamaa wa wili unajikuta kichwa kinagoma..


Messi amebakiwa na ballondior moja akishinda basi utata unatoka na maisha mengne yanaendelea
 
Huyo ni mfungaji bora that all,tuzo hizi sasa ivi zinaleta maana ya uchezaji bora zamani walikuwa wanaangalia nani kafunga ngapi leo hii watu wanalalamika kwa sababu vipenzi vyao mwisho wa tuzo umefika ,nq mwakani atakuwa middifielder mpaka wapenzi wa Messi na CR7 wapasuke
 
Kama tuzo binafsi hata messi ni mchezaji bora Laliga.
Huwez kuwa mfungaji bora km sio mchezaji bora pia.
Naamin wingi wa tuzo binafsi alizo nazo messi wampe tu ballon d'or.
 
Kama tuzo binafsi hata messi ni mchezaji bora Laliga.
Huwez kuwa mfungaji bora km sio mchezaji bora pia.
Naamin wingi wa tuzo binafsi alizo nazo messi wampe tu ballon d'or.
VVD ni mchezaji bora epl ila sio mfungaj bora.
Mambo yamebadilika naona
 
VVD ni mchezaji bora epl ila sio mfungaj bora.
Mambo yamebadilika naona
Mmmmh bro hapana VVD alikua beki bora sio machezaji bora EPL.
VVD ni mchezaji bora Uefa sio EPL sidhan km EPL alipew tuzo hyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…