FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

nenda kaangalie YouTube kazi za itakuwa haumjui vizuri
Namjua Neymar vema bro.
Lakini ubishoo umemuharibu sana na mpira wa show off umemuharibu yule jamaa.
Anajua ila anacheza sana mpira wa kitoto unamuharibia CV.
 
Namjua Neymar vema bro.
Lakini ubishoo umemuharibu sana na mpira wa show off umemuharibu yule jamaa.
Anajua ila anacheza sana mpira wa kitoto unamuharibia CV.
Kwa ubishoo dogo anaongoza... hata hivyo yuko karibu kwenda kwa 50 cent U.S.A
 
Hapo vipi wadau...naona ney huyu hapa kabisa...rakitic yuleeeee psg....dembele loaned
 
Namjua Neymar vema bro.
Lakini ubishoo umemuharibu sana na mpira wa show off umemuharibu yule jamaa.
Anajua ila anacheza sana mpira wa kitoto unamuharibia CV.
Tatizo la Barca,ni opposition wakicheza high pressing game-Dembele is good in a counter attacking team lakini in a possession based team kama Barca anapoteza mipira mingi-with Neymar opposition ikicheza high pressing imekula kwao cause mpira ukimfikia katika flanks with his close control ni havoc-Hata if the likes of Messi are shut out of the game Neymar can open the keys which kwa Dembele naona ni third season but no development. Dembele aliletwa Barca ili jina lake liwe la pili katika team sheet baada ya Messi-but it seems haitatokea- nadhani at PSG he will flourish
 
Umemjibu vyema. Barca inamuhitaji Neymar, Neymar goli analijua, Neymar anaweza kucheza na Messi. Nitafurahi kama mbele kukawa na watu watatu, Neymar Messi na Griezmann.
 
Demboz kuondoka barca ni ndoto na akiondoka kwa mkopo kwnda timu yoyote mshahara naolipwa kwa wiki utakuwa mkubwa na mzigo utakuwa kwa barca kuhusu kumuuza hilo ndo gumu ana thaman ya Euro 160 mil.hakuna timu itayokubali kutoa hiyo pesa
Messi kwake anaona demboz ni bora kuliko uwepo wa coutinho so messi nae ni kikwazo kwa demboz kuondoka wana imani siku akipona majeraha yote atakuwa mashine nzuri.
 
Dah PSG wamechomoa offer yetu ya mwisho ya wachezaji wawili na pesa na papo hapo Dembele amesema hataki kabisa kuondoka barca na hataki kabisa yeye kutolewa kafara kwa ujio wa Neymar
Sasa yasemekana Barcelona wana Option moja tu iliyobaki nayo ni kutoa pesa taslimuu Euro 170 milioni ili kumpata Neymar
 
watoe tu hata ikibidi wamtoe msukule abidali
 
Kwa hiyo hawa PSG,wanategemea kabisa kumchezesha Neymar katika timu yao-hili saga litawatokea puani PSG
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…