FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni kweli pale ajax madogo wapo wangetufaa tungechukua hata forward wawili+neymar au hata kama nipango ya neymar inasuasua tungechota watatu pale
 
nyie jamaa mnachekesha Yani hao midiocore player wanaolingana kiwango na Deloufue na rafinha waje Barca?
neymar ni potential akija ndio maana Messi anaforce iwe ivyo neymar nizaidi ya mchezaji

Subiri watu wa darajani wakusikie unamsema Pulisic
 
Mmh klopp sishauri.
MPIRA wake wa mkimbize mkimbize.
Guardiola si rahis kurudi barca wala Luis Enrique hapo atafutwe Xavi tu master pass basi.
Klopp anajua kucheza type ya mpira wa umiliki zaidi , kumbuka hata alipokuwa pale Dortmund walikuwa wakicheza pasi nyingi sana ila nyingi zenye madhara kwa mpinzani , rejea mechi ya kwanza na real pale home.

Pia kumbuka mechi ya CL iliyopita alipokutana na Barca game ya kwanza aliposess sana.

Yule ni mzuri
 
Kocha wa ajax ndie alietufaa kwa wakati huu.. Ikiwa tunahitaji tik tak yetu irudi
Klopp anajua kucheza type ya mpira wa umiliki zaidi , kumbuka hata alipokuwa pale Dortmund walikuwa wakicheza pasi nyingi sana ila nyingi zenye madhara kwa mpinzani , rejea mechi ya kwanza na real pale home.

Pia kumbuka mechi ya CL iliyopita alipokutana na Barca game ya kwanza aliposess sana.

Yule ni mzuri
 
Valvede anakera sana. 2 times unatolewa uefa kwa comeback..et plan yake away games alikua Anacheza defensive game..since when barca akapaki bus?Barca wanajichelewesha wenyewe
 
Bro klopp mpira wa tik tak anacheza dakika tano tu basi.
Hata mechi na barca ali possess mpira dakika tano tu.

Hana mpira aina ya tiktak hana kabbisa.
We mtizame akicheza na man city yan anabutua butua tu.
Tunamtaka mtu wa kuurejesha mpira wa tik tak km Guardiola ama Enrique mpira wa triangle passes klopp hana na hawezi mkuu.
 
Raisi wa Barça ameamua kwenda ufaransa mwenyewe kumaliza utata

Yaani mtu aliondoka Barcelona mwenyewe tena kwa nyodo na majigambo mengi. Leo hii hajaomna hata msamaha publicly eti watu tena wanambembeleza arudi!
Seriously?
I’m disappointed with Bartromeu
 
Wa kutufaa ni Erik ten Hag.. Achana na klopp
Bro klopp mpira wa tik tak anacheza dakika tano tu basi.
Hata mechi na barca ali possess mpira dakika tano tu.

Hana mpira aina ya tiktak hana kabbisa.
We mtizame akicheza na man city yan anabutua butua tu.
Tunamtaka mtu wa kuurejesha mpira wa tik tak km Guardiola ama Enrique mpira wa triangle passes klopp hana na hawezi mkuu.
Valvede anakera sana. 2 times unatolewa uefa kwa comeback..et plan yake away games alikua Anacheza defensive game..since when barca akapaki bus?Barca wanajichelewesha wenyewe
 
Yaani mtu aliondoka Barcelona mwenyewe tena kwa nyodo na majigambo mengi. Leo hii hajaomna hata msamaha publicly eti watu tena wanambembeleza arudi!
Seriously?
I’m disappointed with Bartromeu
bila neymar Barca itakuwa haina tofauti na malindi iliyochangamka
 
According to sources close to the negotiations, PSG would accept a 1 year loan and a buy option of 160M for Neymar. It will be in Bartomeu's hands. Neymar won't make a public gesture if Barça aren't serious. [cat radio]
 
Yaani mtu aliondoka Barcelona mwenyewe tena kwa nyodo na majigambo mengi. Leo hii hajaomna hata msamaha publicly eti watu tena wanambembeleza arudi!
Seriously?
I’m disappointed with Bartromeu
me imeniuma zaidi Coutinho na Malcom kuondolewa wachezaji waliocheza kwa passion sana

Nahisi tusipobadilika kuna wachezaji watakuwa wanakataa kusajili Barca
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom