Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,802
- 2,961
Naam hakunielewa kabisaMsome tena maana hujamwelewa
Naam hakunielewa kabisaMsome tena maana hujamwelewa
Kaka umeongea full UKWELI sikupangilia vzuri maneno ila bro mm nipo na mawazo yako.Tatizo ni mkao wa ile comment yako ya awali ilionekana unamuunderl
Tatizo ni comment yako ya kwanza , ulionekana unamponda Enrique kwa kumlinganisha na Valvede jambo ambalo binafsi nililiona si sawa.Huyu Valverde ni mbovu kwa timu ya Barca ambayo inashiriki vikombe vingi , yaani pale jamaa hana mbinu kabisa hata upangaji wa kikosi wake huwa haueleweki kabisa.Binafsi nilidhani ilikuwa ni heri atimuliwe mwisho wa msimu uliopita tu maana ameifanya barca kuwa less dominant team kwa timu pinzani na bado anajichanganya sana katika mchezo uwanjani.
So rejea comment yako utaelewa kwa nini nilionekana kukupinga.Enrique alikuwa master yule yaani yule aliifanya Barca icheze style zote yaani possession game na counter attack where needed.Huyu wa sasa sijui kabisa mipango yake ipo vipi
Naam , XAVI ni mbadala wa hakika maana atarudisha mpira wa possession tena na La Masia itakuwa great again na muhimu kwa timu ya Barca.Kaka umeongea full UKWELI sikupangilia vzuri maneno ila bro mm nipo na mawazo yako.
Valverde katuharibia team kabbbisaaa basi wamtafute hata Xavi huko aliko aje kuzipa pengo huku maana naskia yeye kocha sasa hv,wamuondoe huyu kiazi Valverde anatuharibia team.
Luis Enrique alikua kocha bhana hakuna asiyefaham.
Mmh klopp sishauri.Naam , XAVI ni mbadala wa hakika maana atarudisha mpira wa possession tena na La Masia itakuwa great again na muhimu kwa timu ya Barca.
Hadi sasa ameiongoza timu yake ya Al Sadd mechi tatu kati ya hizo kashinda mbili , kadroo moja na hadi sasa kashachukua kombe moja la ufunguzi wa ligi , hata yeye amekuwa akitamani kupewa kibarua hicho tangu kitambo atimize ndoto zake za kuifufua barca iliyokuwa tishio duniani.
Kama haji huyo basi aje Guardiola , Enrique au na hata Klopp maana hao wanazijua mbinu vema na wanaweza kufundisha mpira wa kikatalunya
Klopp anacheza mpira wa aina yoyote unayoitaka, refer game ya kwanza pale Camp Nou jinsi mlivyoutafuta kwa torch mpira.Mmh klopp sishauri.
MPIRA wake wa mkimbize mkimbize.
Guardiola si rahis kurudi barca wala Luis Enrique hapo atafutwe Xavi tu master pass basi.
Bro huyu coach alishindwa ku adress tecnic nzuri.Klopp anacheza mpira wa aina yoyote unayoitaka, refer game ya kwanza pale Camp Nou jinsi mlivyoutafuta kwa torch mpira.
Na mlivyoenda Anfield akawachezea mpira tofauti na wa mwanzo. Mlimiliki yeye akashinda.
Klopp ni master.
Tegemea LA LIGA mkuu..Chini ya valverde hii team sitegemei chochote
Tegemea LA LIGA mkuu..
Kwani usajili wa Neymar kurudi Camp vp?
Nafikiri huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hataipa timu kitu tofauti..Hata Neymar akirudi lakini tujue tatizo sio wachezaji ila ni Kocha coz anapewa Kila Kitu lakini still bado hakuna anachofanya
Atoke tu huyu kocha wakuu tushachokaNafikiri huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hataipa timu kitu tofauti..
Ngoja tuone
Maneno mazuri mkuuKocha anayeifaa Barça kwa sasa ni kocha wa Ajax then Xavi awe msaidizi wake huku akiandaliwa kubeba mikoba 2024
Lakini La Mesia iboreshwe ili utamaduni wa zamani urudi ..
Neymoney simkubali kabsa kwanza pancha nyingi yaan bkra tungemvumilia CoutinhoTegemea LA LIGA mkuu..
Kwani usajili wa Neymar kurudi Camp vp?
Ameondoka Coutinho na Malcom, Dembele yuko Injury, tofauti na Neymar kuna option nyingine kocha anayo?Neymoney simkubali kabsa kwanza pancha nyingi yaan bkra tungemvumilia Coutinho
Ameondoka Coutinho na Malcom, Dembele yuko Injury, tofauti na Neymar kuna option nyingine kocha anayo?
Ngoja tuone
Hawa hawawezi kwenda barca kwa sasa labda miaka 2/3 mbele kama wataimprove zaidi + J.SanchoChristian Pullisic
Hudson Odoi
Hawa hawawezi kwenda barca kwa sasa labda miaka 2/3 mbele kama wataimprove zaidi + J.Sancho
Aubameyang mtoe anaelekea 30yrs... angalau L.Sane, Sancho, Mbappe, Pepe, Felix..Abumeyang
Lacazette
Nicolas Pepe
nyie jamaa mnachekesha Yani hao midiocore player wanaolingana kiwango na Deloufue na rafinha waje Barca?Christian Pullisic
Hudson Odoi