Akishinda mnamwita GOAT,wakifungwa mnamwita anduje. Plastic shabiki bwana.Kile kiandnje kile kinajidai sana kile kinajiona yeye ndio yeye yaani hata kikipata mpira kinataka kifungage yeye na vindevu vyake kama rasta za Bob Marley
Na kweliChenye mwanzo kina mwisho
Mkuu nili jipigia had at trickSame same valencia asernal aliyojipigia 7:3
Van dijk winning Ballon dor and theres nothing messi fanboys can do lmaooBallon d'Or tunayo au hatunayo?
Hakuna anachovuna this yr andunje.....kinajidai sana!! Huo uungu wa mpira katoa wapi...muda umeisha, alee familiaBallon d'Or tunayo au hatunayo?
Hahahahahahahahah.........VIRGIL VAN DIJK hahahahahahahahah tutafia uwanjani 1june Pole sana.Ballon d'Or tunayo au hatunayo?
waambie kabisa balon dor hapewi mtu kisa kaifunga getafe, sevilla na Bilbao na tunakoelekea tutaelewana tuHahahahahahahahah.........VIRGIL VAN DIJK hahahahahahahahah tutafia uwanjani 1june Pole sana.
na huko copa America Brazil na Uruguay watamtoa mtu utumbo hapati chochote labda wamuonge uchezaji bora hawakawii kumfuta machoziHahahahahahahahah.........VIRGIL VAN DIJK hahahahahahahahah tutafia uwanjani 1june Pole sana.
Hamna kitu kama love for your club ... when it rains,night ,sick ,worse ,hot...natambaaa na Barca ,here we go....for Copa de ley final ...sijalipia siku nyingi startimes king'amuzi nimelazimika Leo.....na ku set antenna
It's world football number 254 we go guys....noise makers the have gone a trophless year
Love for the club no matter what ,tukianguka we rise up ,when the want us to go low we fly higher and higher
match ya Liverpool width sio option ni lazima-na middle of the park lazima iwe total domination ili akina salah wakitaka mpira iwabidi warudi nyuma- kwa mkakati huu Liverpool lazima akae chini
Ballon d'Or tunayo au hatunayo?
Hakuna wakati mgumu katika maisha ya andunje kama mwaka huu. Maana hata hiyo Golden Boot anaiona chungu.Usikimbie uzi
Usiendelee kujipiga ban
Pole na msiba wa Copa Del Rey
Mpira hudunda
View attachment 1107872
Jibu swali.Hebu rudia tena!