interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Valencia wamewabutua na kubeba ndoo ya mfalme,nadhani kocha wenu ndo nauli hiyo
Atoke kama mwenzake rld..jana kimesema watabeba hili kombe kama compasation ya pain ya ucl na hana mpng wa kuondk, sasa kakosaSi kama anapenda lkn anajua akitoka tu pale ni kipi kitachomkuta kama kilichomkuta Coutinho ss hv
Kile kiandnje kile kinajidai sana kile kinajiona yeye ndio yeye yaani hata kikipata mpira kinataka kifungage yeye na vindevu vyake kama rasta za Bob MarleyYan Mess lazima anyanyue kiuno pale aje united!! Kanajifanya ni kifia timu sana!!
😂😂😂 mkuu kingepata nafas ya kusoma hii comment yako, kingeku-ban usifatlie barca tena!! Kinajionaga kina uungu fln hiv wa mpiraKile kiandnje kile kinajidai sana kile kinajiona yeye ndio yeye yaani hata kikipata mpira kinataka kifungage yeye na vindevu vyake kama rasta za Bob Marley
tatizo bwana Andunje Messi aajiona sana yuleAcha roho mbaya Chifu, wape pole wazee wa Bebwalona
Kwaio mkuu unamaanisha aya yanayoendelea nikama monacoHakuna timu hapa nadhan kwa sasa mtarudi miaka kumi nyuma maisha mliyoyazoea tunaoijua Barça miaka kumi iliyopita hii ndio Hali iliyokuwa nayo mashabik wa epl mliokimbia timu zenu n wakat wa kurudi kwenye timu zenu sasa mfadhili wenu naye Hali yake s shwari
Namsimu huu wameenda kwakuunga unga sana lazima atatimuliwa tuNaomba wasimtimue ili tuendelee kumgongagonga Barca mpaka Messi ajute kuwa mfia timu
Kajinga sana hako ka Messi, kubahatisha kuwa Barca ambapo pana kila ufundi wa kutengewa magoli basi kanajidaaai km vile ni kenyewe ndicho kana thamani kuliko wote duniani...pumbavuAtoke kama mwenzake rld..jana kimesema watabeba hili kombe kama compasation ya pain ya ucl na hana mpng wa kuondk, sasa kakosa
Kabisa mkuu najiuliza man u alifeli wapi kuubutua huu mzoga Mbona ulishajifia kitamboKwaio mkuu unamaanisha aya yanayoendelea nikama monaco
tatizo bwana Andunje Messi aajiona sana yule
Barca itateseka sana baada ya messi kuondoka.Atoke kama mwenzake rld..jana kimesema watabeba hili kombe kama compasation ya pain ya ucl na hana mpng wa kuondk, sasa kakosa
Kudadweki zake😂😂😂 mkuu kingepata nafas ya kusoma hii comment yako, kingeku-ban usifatlie barca tena!! Kinajionaga kina uungu fln hiv wa mpira
Kinaniudhii sana kile kikipataga mpira kikiwa kinakimbia nao utadhani kibaka aliyenusurika kuingizwa kwenye tairi la gariHahaaa...tena mbali na kujiona kanapenda tu katukuzwe muda wote km vile ndicho kianzilishi cha mpira duniani
Wafia Messi wakikusikia utahama dunia, na kaa kimya kwanza maana huwezijua kipi kitatokea, mbona walimpatia hiyo tuzo 2010 na haustahili kabisa badala ya Iniesta?Balloon d imebaki storyalicho niuzi anduje ni leo kuside na vardes dah!
Mkuu hii n pombe ya ngomani kila Mtu anajichotea tuBarca itateseka sana baada ya messi kuondoka.
Dalili zipo wazi kabisa.
Na haya yote kayataka liverpoolwamefanya timu zingine ziidharau barca.
Hlf surely, anduje ana mkosi sana! Mwak jn kimetolewa, mwak huu kimetolewa tena uc, kimefumuliwa tena leo..kina mkosi....national timu hakina kitu, kufunga nywele tuuKajinga sana hako ka Messi, kubahatisha kuwa Barca ambapo pana kila ufundi wa kutengewa magoli basi kanajidaaai km vile ni kenyewe ndicho kana thamani kuliko wote duniani...pumbavu
Hahaa...we jamaa unachezea utajiri wa kucheza zecomedy hv hv, kwanini usiende kwa kina Joti? 7bu umenichekesha sana kwa hii smsKinaniudhii sana kile kikipataga mpira kikiwa kinakimbia nao utadhani kibaka aliyenusurika kuingizwa kwenye tairi la gari
Wafia Messi wakikusikia utahama dunia, na kaa kimya kwanza maana huwezijua kipi kitatokea, mbona walimpatia hiyo tuzo 2010 na haustahili kabisa badala ya Iniesta?