Huyu bartomeo anampenda sana valvede haha.
Yan ipo wazi kwamba timu haiwezi
Kila mechi ana formation mpya.
Au labda wanahofia kupata kocha mzuri kwa sasa ni mtihan .

Wewe unaumia nini wakifungwa........nini kinachokuuma wewe timu yako ni Manchester city ya Barcelona yaache kama yalivyo........Au ni miongoni mwa wale wanaotumikia mabwana wa wawili kwa wakati mmoja.