FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahaha city ana tutaji tuwili tu. Kuna mdau hapo juu kafafanua vizuri duh nisije maliza MB kisa ubishi ndani ya uzi huu
Mimi nakuzingatia wewe sifatilii mdau mwingine zaidi yako binti mpole 😂😂

City ana mataji matatu na msimu huu wanakuanayo manne na misimu ijayo mtazidi kunisaidia kuhesabu
 
Unaongelea 1st season! Na sahii anaenda kuchukua back2back epl.. Namna gani wewe!!.. Na tot sio kwamba walimfunga pep ucl walifungwa vizuri tu. Pep ujiniaz mwingi ulimponza 1st leg.

Unaongelea usajili kwa city ambayo tayari iko kwenye form ya ushindi na acha bwana..

Mwakani anabeba tena.
 
Jibu hili hapa. Hadi saiv EPL bingwa hajajulikana,top four kivumbi kitupuView attachment 1083831 next season bingwa hajulikani

Ila La liga mambo yameshaisha zamaaniView attachment 1083832 na next season bingwa kama sio barca basi ni R madrid
Sasa hata EPL mbona bingwa wa msimu huu na ujao ni Man city tu anajulikana labda kama wew haujui pole yako
 

Sasa kama Pep aliwafunga Spurs si angekuwa anasubiri kucheza na Ajax mkuu?
Mkuu VAR itasaidia sana kuleta utamu zaidi EPL msimu ujao
Kwa kifupi timu za EPL zinajuana sana na ManCity wana chance kubwa sana ya kutetea ubingwa lakini sio guarantee Pep kushinda msimu ujao
 
Sasa hata EPL mbona bingwa wa msimu huu na ujao ni Man city tu anajulikana labda kama wew haujui pole yako

Ngoma bado ingawa akishinda mechi zote zilizobaki ni bingwa.
Msimu ujao hauna mwenyewe.
Ila Barca ndio bingwa msimu ujao La Liga
 
Mimi nawashangaa sana ambao hawaoni hii fact..

Barca tumekuja na msemo juzijuzi tu

"WE MAKE EXTRAORDINARY SEEM NORMAL"

MTU kuchukua 8 cup inaonekana normal sababu ya uwezo wetu..

Messi vitu anavyofanya ni extraordinary lkn kwakuwa vimezoeleka kwa miaka mingi tunaona vya kawaida.

Barca hatukua vizuri hadi Cruyff kuintroduce Cruyffball..

Cruyff anasema kucheza michezo mpira ni kitu rahisi lkn kucheza mpira rahisi ni kitu kigumu.

Kuwa na wachezaji wa kariba ya messi Xavi Iniesta tuliwweza kubadilisha sura ya mpira.. Watu kwa roho tu hawaappreciate icho kwa kusema eti liga ni ligi rahisi sijui ligi ya timu moja.. Ni uwezo tuu


Basi kaka ni hivyo hata epl ni ligi ya timu moja tukisema man u kachukua mara 13 wengine wakifwatia mbali..

Waache hayo maneno,
 
Totally domination.. Hatari sanam
 
Miaka kama 10 iliopita swali lilikuwa "What's the future of Barça without Ronaldinho"

Mzee subiri Barça haito isha kukushangaza
Jibu zuri sanaaaa... Agiza juisi..

Watu wanadhani bodi imekaa tu.. Tulia waone.

Na messi kustaafu ni hadi 40s watasubiri sana
 
Izi mentality zenu zitatolewa na pep, tulia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…