Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,420
Chukueni ubingwa kabisa leo ili jumatano mkamchape liverkuku vizuri
Angekua Ronaldo ingepigwa bonge la marketing wakati akina Abromovic ,Dan Alves ,Artulo wametulia kimyaaIf Barcelona beat Levante this weekend, Arturo Vidal will win his 8th consecutive league title.
Juventus 2011-15
Bayern Munich 2015-18
Barcelona 2018-19
Unbelievable.
Unadhani huyo keeper wa Man City angekuwa Barcelona angemuweka T Stergen bench??? Reflex za Stergen ni extraordinaireNi kipa mzuri sana na anachonifurahisha ni kuwa anajituma sana na hafungwi mabao ya hovyo. Weakness yake ni footwork. Angepata footwork ya yule kipa wa ManCity basi angekuwa a completele shot stopper
Hamjui Ter Stergen huyo ,foot work kivipi wakati kwenye one -on-one ,hafungwiUnadhani huyo keeper wa Man City angekuwa Barcelona angemuweka T Stergen bench??? Reflex za Stergen ni extraordinaire
Unadhani huyo keeper wa Man City angekuwa Barcelona angemuweka T Stergen bench??? Reflex za Stergen ni extraordinaire
Hamjui Ter Stergen huyo ,foot work kivipi wakati kwenye one -on-one ,hafungwi
Angekua Ronaldo ingepigwa bonge la marketing wakati akina Abromovic ,Dan Alves ,Artulo wametulia kimyaa
WOULD YOU THINK THIS TIME THERE IS A PLAYER LIKE HIM
Umeanza kuangalia mpira lini?
Ndio maana sikutaka kuanzisha-nae ligi, maana itafikia stage nikamsababishia kula Ban bure...so huo utabakia kuwa mtazamo wake binafsi kwa kumshuhudia mechi moja ama mbili tu akifanya vizuri....last matches sidhani kama aliangalia na kumfuatilia kwa umakini.
Mkuu bado hatujatangaza ubingwa tu..!!Semis effect :
Messi on the bench. Coutinho and Dembele flank Suarez at Alaves.View attachment 1079497
Mkuu bado hatujatangaza ubingwa tu..!!
OMG!
Au ndio anatunzwa kwa UCL?
yaan Sterling, aguero, salah , mane, aubameyang wang'are halaf King Messi asing'are hivi huwa mnatumia mantiki gani aisee?I’m not sure. Ni ligi mbili tofauti.
Ni sawa na kuna watu wanauliza: Je Messi angecheza EPL angengara kama sasa alivyo Barca? I don’t know the ultimate answer.
Kama nilivyosema mwanzo Ter Stangen yuko vizuri sana kasoro footwork
Lakini footwork ya Ederson is unbelievable!
Indeed..... tusinge pumuaAngekua Ronaldo ingepigwa bonge la marketing wakati akina Abromovic ,Dan Alves ,Artulo wametulia kimyaa
Footwork kama unamaanisha distribution akiwa na mpira Ter Stergen is second to none its only kwamba somehow Velverde na safety first approach yake ameibana tiki taka kwa kuweka limitations za playing from the back.I’m not sure. Ni ligi mbili tofauti.
Ni sawa na kuna watu wanauliza: Je Messi angecheza EPL angengara kama sasa alivyo Barca? I don’t know the ultimate answer.
Kama nilivyosema mwanzo Ter Stangen yuko vizuri sana kasoro footwork
Lakini footwork ya Ederson is unbelievable!