Padri Mcharo na CCNP Engineer hazikukutosha. Umeamua kujiita Mama Debora!Nachowapendea Man U kwenye mechi za kufa kupona kama hizi wanabadilikaga kabisa.
Wanakuaga na Vibe flani dizain kina Atletico, ngoja tuone!!
Nessi asipotembeza ulimi ardhini leo sijui tu, kwanza naombea apigwe kiwiko cha usoni bahati mbaya atoke nje mapema.
Pressure ya nini wakati mnatupiga goli 4.Wazee am here ...niko under alot of pressure nothing to write ,tutapata ushindi wa goli 4
Barca is our heartPressure ya nini wakati mnatupiga goli 4.
Sent using simu mbovu
wamekaza nao ila naamini watakaa tuu.Of course yaani
Hawa lazima wachapwe goli 4 kwenda juu
Mtajidanganya sanaa...last game mlikuwa mnasema mkono mkaambulia kamoja ka VAR
Hahaaaa ,messiiiiiiiiiiiiiiMess kajaribu kuwaonyesha washambuliaji wa EPL kua Degea ni pazia tu
sawa na ya leo ya VARMtajidanganya sanaa...last game mlikuwa mnasema mkono mkaambulia kamoja ka VAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mess kajaribu kuwaonyesha washambuliaji wa EPL kua Degea ni pazia tu
kabisa kiongoziHawa wanatakiwa wale za kutosha ili heshima ya camp nou
Mpira unatakiwa uishe saiv