Suarez anakadi hata hivyo, kadi ya makusudi apumzike ... Maana inaaminika vs roma last year, uchovu ilichangia.Match ya jumamosi ,Barcelona na Huesca
Velverde anatakiwa awapumzishe completely wachezaji wafuatao
1.Messi
2.Suarez
3.Busquets
5.Gerald Pique
6.Jordi Alba na
7.Rakitic
Wachezaji wafuatao inabidi wakaipambanie team tupate point 3
1.Coutinho
2.Dembele
3.Carles Arena
4.Lenglet
5.Semedo
6.Arthur Mello
7.S Roberto
8.Murillo
9.Prince Boateng
10.Malcolm
11.Cillisen
12.Inaki Pe'na
14.Ric Puig(achukuliwe kutoka Barcelona B)
15.Artulo Vidal
Nimemaliza ...!!
Tutaingia jumanne dimbani kama tumefungwa vile ,Champions league is our no 1 priority
Nimeshapenyezewa na ombi langu linaelekea kukubaliwaSuarez anakadi hata hivyo, kadi ya makusudi apumzike ... Maana inaaminika vs roma last year, uchovu ilichangia.
Messi ana injury mi naona akiingia kama sub...
Pique ana kadi nadhani.. Kuna uwezekano wa kuwa benchi.
si sahihi ku conclude kimtindo huu. ukizingatia leo kikosi kilichoingia hakikuwa kimezoeleka sana hata formation tu imekua ngeni.Hawa madogo wametoa aibu, poor performance
Ila tuangalie hawa jamaa wasije tibua shughuli yetu leo
$ There's clear light at the end of the Tannel $
Wakitupiga hakika humu tutahama maana watasema sana
$ There's clear light at the end of the Tannel $
Yani Man U, wakiongozwa na kocha wao wanaongea sana, naomba Mungu tuwapige 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe Dua pamoja:
"eeh jehova, tunaomba wabariki Manchester washinde 2-1 ili wapite kwa magoli mengi ya ugenini!"
amin!!!