FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hata kama man u mtaitoa pale spain.....kwa liverpool inabd mjipange zaid. Game ya leo ilibeba tension kubwa sana na limepatikana narrowly goal la kujifunga....yote sawa mana hilo gol limetokana na pressing mliofanya

Nani amehusika na hilo goli??

Pia Liverpoor mwepesi sana....
 
Aliyehusika na lile goli ni Sergio Busquets mana yy ndy alitengeneza mazingira ya goli kutokea. Fikiria jamaa angeamua kurudsha nyuma ule mpira na asimpe mess mpira!! Shida unakuza kitu ambach sio


Fikiria na Messi asingetoa ile assist kwa Suarez ingekuwaje?
 
messi amechoka, hana kasi, kiwango kimekwisha kabisa. barcelona sio timu tishio tena
 
Wewe kiroboto hujambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…