FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Shida ya wabongo nd hii...mpira hauzungumzwi mdomon....dakika 90 unapata matokeo sahihi...sasa nyie mnajipa ushindi wakat mech haijapigwa


Baada ya kocha wa Man u kuulizwa vipi umeonaje game au umejifunza nini baada ya game ya Barcelona na Atletico de Madrid kumalizika? Majibu yake "Kwakweli Messi atabaki kuwa juu tena juuu kileleni 😀😀😀 pia bila kusahau juu tena juuu mawinguni" 😀😀😀


Messi atawanyoosha mtake msitake
 
Hii Robo fainali iishe tu tujue moja mana maneno ni mengi mno
 
Messi akishindwa kuamua ushindi wetu basi smalling will.
Hii Robo fainali iishe tu tujue moja mana maneno ni mengi mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…