Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
😁😁
😁😁
Bahati yao Messi ameingia dkk ya 61...otherwise wangekula 6 mammae....ingawa mechi imenipita dah...
Ndugu zangu mwenye goli la Mess atupie hapa...
Mkuu wala usijute game kukupita ilikua hovyo sana sema imebebwa na jinsi matokeo yake yalivyo
Mkuu leo nimejikuta naishiwa maneno kabisa baada ya hii freekick asee nilijikuta navanda naona kama nahadithiwa vile
Ila messi daaah
Sent by anonymous user
Pamoja sanaDah,kumbe😱😱 Nashkuru kamanda wangu!
hawa manyimbizi walipania sana maana walikua wanakuja sio mchezoMkuu leo nimejikuta naishiwa maneno kabisa baada ya hii freekick asee nilijikuta navanda naona kama nahadithiwa vile
Ila messi daaah
Sent by anonymous user
Kunamuda unafika unakosa cha kusema kuhusu Messi, akistaafu Kuna vitu tutavikosa kwakweli. Malcom alikua na first half nzuri lkn partnership ya Umtiti name clement bado sanaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app