Na Mimi pia ninachohofia ni team zenye advantage kwenye aerial balls, hasa tukiruhusu kona nyingi.Kwa hao waliobaki namhofia liverpool pekee. Wako very efficient kwenye aerial balls ambako ndiko weakness kubwa ya Barca ilipo.
Hao wengine sioni shida kabisa!
- KANA -
Kwa mtu ambaye anachunguza mpira kiundani kabisa Messi hua anafunga magoli machache sana ,ila anapasia kwenye nyavu magoli mengi sana (kama umenielewa basi unaelewa namaanisha nini)
Simply magoli ya Messi akili ni nyingi sana nguvu inatumika kwa mbali.....refer goli la pili ambalo jackline 1 anakuambia mabeki walijamba na kupiga chafya in one direction(something impossible) alimalizia kufunga kwa shoot dhaifu.....ambalo golikipa hawezi kunyaka na mpira anauona huu hapa unampita
hahaha sasa si bora wangetupa uefa yetu tu...Kahusika na magoli 4...
2 goals 2 assists, and man of the match kama kawaida yake....
hata goli tulilopigwa na Lyon ni kushindwa kupambana mipira ya juu . hivi hali ya Umtiti ikoje.Na Mimi pia ninachohofia ni team zenye advantage kwenye aerial balls, hasa tukiruhusu kona nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna team dhaifu kama Liverpool nilikua nafanya homework ya team zilizobakia ngumu ni man city peke yake whether you like or not guys
Liverpool hata alivyoshinda juzi ni kua tu Beyern Munichen were not luck walipata chances nyingi sana hawakuzitumia na wao ndio waliocheza mpira mkubwa trust me
Kingine beki yao ni dhaifu inaruhusu sana crosses ,kitu ambacho ni hatari sana kwao,kibaya zaidi hua wanafunguka wanapocheza ,Barcelona style hua inaipenda sana hii style
Juventus -hawa ni dhaifu sana,hamna uchezaji wa ki team ,wako so pressable
Man U -hawa hata wakitajwa tu na sisi wanajua tayari wameshaondoka
Huu mwaka ni wetu narudia tena na tena UEFA linakuja Camp Nou
Nimefanya homework zangu ipasavyo ,the door is very open Barcelona kuchukua ubingwa
Man wana jiamini sana kisa wamepita. Wanadai wao uchukua uefa kila baada ya miaka 10
Sent using Unknown device
Raia wamaanza gossip wanadai hii imevujaHamna team dhaifu kama Liverpool nilikua nafanya homework ya team zilizobakia ngumu ni man city peke yake whether you like or not guys
Liverpool hata alivyoshinda juzi ni kua tu Beyern Munichen were not luck walipata chances nyingi sana hawakuzitumia na wao ndio waliocheza mpira mkubwa trust me
Kingine beki yao ni dhaifu inaruhusu sana crosses ,kitu ambacho ni hatari sana kwao,kibaya zaidi hua wanafunguka wanapocheza ,Barcelona style hua inaipenda sana hii style
Juventus -hawa ni dhaifu sana,hamna uchezaji wa ki team ,wako so pressable
Man U -hawa hata wakitajwa tu na sisi wanajua tayari wameshaondoka
Huu mwaka ni wetu narudia tena na tena UEFA linakuja Camp Nou
Nimefanya homework zangu ipasavyo ,the door is very open Barcelona kuchukua ubingwa
Karejea naona kaitwa national team na legente kaachwahata goli tulilopigwa na Lyon ni kushindwa kupambana mipira ya juu . hivi hali ya Umtiti ikoje.