FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembouz kwa spid anatisha plus semedo ila bado viungo wakabaji, De jong anaanza kucheza lini?
Kabla busquet hajastaafu sahau kuwa Kuna kiungo mkabaji atamuweka benchi ata aje yesu atapigwa benchi tu na hyo machine
 

King Leo baadhi ya game anakuwa kama kapumzika hivi uwanjani
 
Haha unasubiri messi aondoke? Utasubiri sana mkuu.... Hadi huo muda kufika tutakua kwanza tumeshasimama na madogo kibao watakuepo ku step up
Sawa mkuu hata madrid waliambiwa ni 1 man team wakabisha.... Leo hii unaona timu inavyosuasua kupata magoli!!! Na ww ngoja messi aondoke mtaelewa nachosema. Time will tell na hii post ntaifufua tu hata iwe 2025 inshallah tujaliwe uhai.
 


Siku King anastaafu soka, huenda na mimi nikastaafu kushabikia soka....huyu mtu ndie amenifanya niupende mpira, ingawa mimi ni mtu mzima na nimewafuatilia wachezaji/mastaa mbali mbali duniani lakini huyu ndie chaguo langu na amenifanya niupende zaidi mpira....na itachukuwa karne na karne kumpata binadamu mithili huyu....

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…