Najaribu kuwaza wewe utakuwa mshabiki wa timu gani pale England, maana naona unahofia timu yako kukutana na barcaBarcelona naombea second leg watoke 1-1 pale Camp Nou.
Nitafurahi sana. Siku hiyo baba Debo hata akitaka usiku kucha, nampatia!!
Ha ha ha raha sana
The Messiah age in Barcelona ,mimi nimemsifia sana Messi naona siku hizi bora nitulie tu ,in short duniani in real football(not marketing football) hamna copy yake he is extra-ordinary unique ,having Messi in your team is a cheat code
Bro hata mimi nimechoka kila siku yeye.. Na mimi naanza kumchukia sasa sio kwa hizi sifa za blaza messi... Nimeelewa kwa nini watu umchukia messiah wa football
Wanamchukia kwa sababu yeye ni fundi, yeye ni mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka....hicho ndicho kinachowaumiza hawa watu.
Huyo ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea...hattrick and 1 assist [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Barcelona naombea second leg watoke 1-1 pale Camp Nou.
Nitafurahi sana. Siku hiyo baba Debo hata akitaka usiku kucha, nampatia!!