Mfalme anachojua yeye ni mpira tu mpaka kuna muda nawazaga Hawa vijana wa kileo kwanini hawamwangalii hata clip zake ili kujifunza hata kufunga one on one
We acha tu ,Messi kama kawaida akafanya mambo yake na huko Atletico Madrid amenyooshwa so gap la point limeongezeka 50 kwa 44 so we still at top of the league defending our championship