FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Coutihno yuko poa tu.
Hapo shida ni Valiverdi ameshindwa kumtumia inavyotakikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coutihno yuko poa tu.
Hapo shida ni Valiverdi ameshindwa kumtumia inavyotakikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kocha amefanya Barcelona ishuke thamani, zamani ilikua ni fahari kuchezea Barcelona na wachezaji wengi nyota walikua wanajivunia hilo. Leo hii mambo yamebadilika kuna wachezaji wanasajiliwa wanatuacha midomo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Notes:

Kweli Coutinho confidence imepotea kabisa...need an help: nakumbuka nilitahadharisha mapema...

Semedo is the right fit for RB (everybody now knows)

Nifundisheni jinsi ya ku miss match ya Barcelona ,I can't

Wakuu mpoooooo
 
Naona mabadiliko Leo;
Rakitic ana attack kama left winger
,tena sometimes anakua kwenye goal scoring position ,nadhani hii ni plan ya kufanya enforcement upande wa Coutinho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…