FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Kweli kabisa,Barca walichemsha kwa paulinho.
 

Anatuharibia tim yetu huyu babu
 
aaaaaaaahhh
kwann asingepanga kikosi kuntu first leg alaf second leg ndo angeenda na kikosi cha kutest vimitambo vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata YANGA SC kuna wachezaji mandava kuliko boateng suarez ba vidal. Kuna HAJIB na YONDANI vipi hawa wanaweza kufaa wakat wa majira joto
 


Kamanda, Imeniuma sana hiyo 120M kwa coutinho,yani haiendani nae kabisa wakati kuna wachezaji wazuri zaidi yake kama Dybala, Christian eriksen, Kevin De bruyne, James rodriguez and De maria....

Huwa najiuliza sana walifikiria nini kusajili hii mizigo! Sipati jibu....
Coutinho

Boateng
Malcom
Gomez
Paulinho
 
Itakuwa una illness in your mind coutinho ni bonge la fundi sema hatuna kocha tu inatakiwa ujue hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coutinho naona yuko poa, sijajua ni mfumo au vipi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…