FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Giroud Big No aisee, mara 100 tuchukue tu madogo kutoka Barca B. Alafu huyu Stuan nae tatizo umri, ana miaka 32 kama Suarez. Labda kama ni suruhisho la muda mfupi.Giroud aje Barcelona ipi?Barca B au team ya wanawake?
Kijana Stuani kutoka Girona ndie recommended replacement ya Munir kama sub ya Suarez
Sijaona striker yoyote nje ya Barca anaeweza kum dislodge Suarez- kuna strikers wengi-but Suarez ni hitman-form yake ilichelewa kurudi otherwise hii pachichi angekuwa mbali sana
Sijaona striker yoyote nje ya Barca anaeweza kum dislodge Suarez- kuna strikers wengi-but Suarez ni hitman-form yake ilichelewa kurudi otherwise hii pachichi angekuwa mbali sana
Kikosi kimekamilika. Bila shaka tutapita. sijamuona huyu Murillo akicheza.
Inasemekana arsenal kwa mkopoDennis Suarez anaelekea wapi. Nasikia wanasema anahama.
Yaahh yuko Sub kama jahazi litazama ataingia kuliokoadogo dembele sikuizi gym imekubali...
Mnyama vipi yupo sub?