Simshangai huyu babu, kabla ya neimar hajaja Barca alishawahi kusema neimar ni bora kuliko Messi, kama zali neimar na Messi wakakutana kwenye final ya club world cup neimar akawa anarukaruka tu kama kuku aliyekatwa shingo na King alifunika vibaya mno...kama haitoshi neimar akaja kucheza na King Barca akaendelea kufunikwa mpaka akaamua kumkimbia, na King bado anakiwasha...