FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Pele daima anaamini mpira safi unatoka Brazil pekee. Jamaa ni fan mkubwa wa neymar hivyo ni haki yake kumuonea wivu Messi
Nilikuwa na mheshimu sana Pele ila kwa kauli ile nimemchukukia sana. Yaani unatia chembe ya shaka ktk ubora wa Mfalme wa mpira duniani??? Unaanzaje kwa mfano!!! "Kenchy type"....
Alafu Pele anaongea Nini?
 
Huyo babu uzee unampelekesha..

Anaogopa kusahaulika hivyo inambidi atengeneze attention mitandaoni..

Kama kichwa messi alisha tumia kufunda, mguu wa kulia ashatumia pia..

Wakati wake ulishapita.. Atulie aangalie vijana wa kikiwasha..

Btw this is Argentina
Brazil battle.. Hakunajipya
Pele ameanzisha mgogoro mkubwa,amesema Messi hawezi kuwa all time great sababu anapiga mguu mmoja na hawezi head the ball
 
Pele ameanzisha mgogoro mkubwa,amesema Messi hawezi kuwa all time great sababu anapiga mguu mmoja na hawezi head the ball

Huyo mzee chizi tu, wangapi wanatumia miguu yote but hata robo hawamfikii Messi na mguu wake mmoja! Yeye amecheza kwao huko brazil hata uefa champions league haijui ugumu wake alafu anajiita mfalme wa mpira...Pumbavu kabisa...Mwenyewe hamwezi Messi hata kidogo.
 
Nilikuwa na mheshimu sana Pele ila kwa kauli ile nimemchukukia sana. Yaani unatia chembe ya shaka ktk ubora wa Mfalme wa mpira duniani??? Unaanzaje kwa mfano!!! "Kenchy type"....

Simshangai huyu babu, kabla ya neimar hajaja Barca alishawahi kusema neimar ni bora kuliko Messi, kama zali neimar na Messi wakakutana kwenye final ya club world cup neimar akawa anarukaruka tu kama kuku aliyekatwa shingo na King alifunika vibaya mno...kama haitoshi neimar akaja kucheza na King Barca akaendelea kufunikwa mpaka akaamua kumkimbia, na King bado anakiwasha...
 
😀😀😀
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…