FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Busquets umri unamtupa mkono.

Kuhusu combo la Dembele na Semedo, nimeshaliongelea sana. Nashukuru leo umeliona.

Tatizo valverde hapiti huku kwenye uzi mhimu
 
Huyu wanameita Puig. Naoma anasifiwa sana. Vipi ni mkali?
Huyo mtoto ni moto wa kuotea mbali. Kifupi ana DNA za kucheza Barcelona na ana talanta/kipaji cha kutosha (pure Lamasia products). Anauwezo wa kukaa na mpira, kutoa pasi za mwisho na turns za mauzi ile mbaya. Movement zake akiwa na mpira utampenda. Na kumbuka ana miaka 19 tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…