FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu! Game itapigwa tarehe 24, saa 22:45
Ambayo ni kesho hiyo Jmosi....

Hii game itabidi niiangalizie nyumbani tu maana nikienda kwenye vijiwe vyetu vya kutizamia soccer mambo yakaenda ndivyo sivyo nitarudishwa home nikiwa nimebebwa
 
Madrid ana hali mbaya huko 😀😀 kishapigwa goli 3-0 na Eibar, dakika ya 85 now
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…