FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
daaaaaaah...................................................
kwanini lakini hawa watoto tuliwaachia wachezee sharubu
View attachment 930121
Tusipoangalia hawa wanaweza kujibu kipigo cha kaka zao,,,na ukizingatia zaidi gem inayokuja tunaenda kwa atletico na uchezaji wenyewe ndio huu tutakula nyingi
Lenglet anajitahidi kama umemfuatailia tangu Umutiti aumie, sema jana tulikuwa very poor karibu kila idara (beki, mid, na wings pia)Bora hata mess Suarez amefanya nini zaid ya kuruka ruka. Sijui kwa nini kocha alimuuza beki kama Y. Mila na kuacha akina Lenglet, kiungo mzur kama Denis Suarez anaozea bench kweli?
Kuna La-masia graduate wawili naowafahamu (Mark Bartra na Cristian Tello) jana wametuchezea sana, yaani pale kati kulikuwa hovyo. Wingers na beki zetu zilikuwa zimekufa kinyama.
Ukawa ni mwendo wa kaunta na magoli tu. Yaani jana tulicheza chini ya kiwango sana. Alafu pass ndefu naona hatuwezi, tumepoteza mipira sana jana. Daaah!!! Inasikitisha sana aiseeeh
Lenglet anajitahidi kama umemfuatailia tangu Umutiti aumie, sema jana tulikuwa very poor karibu kila idara (beki, mid, na wings pia)
Mkuu, mfumo wa Barcelona unaweza kua mchezaji mzuri ila ukashindwa kuperfom.Sijui kwanini waliamua kumuuza Yeri Mina, jamaa ni Beki mzuri Sana View attachment 931678
Kabisa MkuuAnamwonea jamaa, yuko poa sana
Yeah, lazima awe na DNA za Barca vinginevyo lazima ambwele tu. Na akienda kwingineko lazima a-shine.Mkuu, mfumo wa Barcelona unaweza kua mchezaji mzuri ila ukashindwa kuperfom.
Mwangalie hata Paco Alcacer, pale camp nou alikua anarukaruka tu. Uwezo wa kuendana na mfumo ni muhimu kwa Barcelona kuliko kiwango cha mchezaji.
Liverpool wanamtaka uyo dogo kwa paundi 98M afu vyombo vya marca vya spain vinamshambulia sana dogoWakuu hivi kuna ishu gani inaendelea juu ya dembele.....
Hii channel imefululiza Habari za Dembele...
tatizo lugha
View attachment 935419
Uyu ahame tu mana sio kama timu imeamua kumwaminiDenis anahitaji kuwa promoted
Uyu ahame tu mana sio kama timu imeamua kumwamini
Uefa yetu msimu huu zikiisha international games tunarudi na moto mpya