Dembele mbona kacheza vizuri sana,katengeneza chance nyingi za goli kajaribu mara kibao...labda kuna vitu vichache bado anakosa ila game ya leo namuona akiendelea kuimprove zaidi....afu sijui kwa nini suarez hampi pasi dembele nafasi nzuri mweisho wa siku anapoteza mipira....coutinho kacheza fresh sana ila suarez flop leo
huyu dogo arthur anapenda kudhalilisha kaka zake nainggolan jana mpaka namuonea huruma ikabidi wamuingize upara valerejo ambae mechi ya kwanza pumzi ilikata
Yeah, yupo kwa mkopo ila "Sky Germany" wanadai kuwa tayari kasha saini mkataba wa miaka 4 na BVB ili kujihakikishia kuwa anabakia hapo moja kwa moja kuanzia msimu ujao. Na kwamba, kama iko hivo Barcelona hatutakuwa na namna yoyote ya kuzuia uhamisho wake. Nimeikuta"Barcelona Live App" kama jinsi inavyosomeka hapa chini:-
"According to Sky Germany, the striker has already signed a four-year contract with Borussia Dortmund which ensures his permanent transfer for the next season. Barcelona, meanwhile, can do nothing to prevent this move, as soon as BVB activate Alcacer's €23m buyout clause".