Ha ha Suarez ameniumbua leo
Pamoja ya ukweli kwamba mimi nilikua wa mwisho kumlaumu makosa yake
But all in all my theory ya kumchezesha S .Riberto na Semedo kwa muda mmoja imelipa ni kwamba upange ambao Madrid waliuita weak side (right back ) kumezibwa kabisa ...na Semedo na kijana S.Roberto anafanya yake mbele ana assist,drible nankupiga crosses katikati
Artulo Vidal.....goal.....
la 5