toka 2010 kwenye ligi tumewapiga Madrid mara 9 wao wakishinda mara 4 tu. Leo kipigo cha kumi. Timu inayosumbuliwa na Plzen haiwezi kutusumbua. Tunapiga Mapema asubuhi. Numbisa usiache kutuwekea zile GIF japo ni nyie tatakuwa tunawapa kichapo.
Kazi nzuri ya Alba.Coutinhooooo
Wewe ni ujinga tuTulia muda bado.
SanaaaKazi nzuri ya Alba.
Sawaa.Wewe ni ujinga tu
Tunashukuru kwa upendo wako mkuuJf barca fans nawasalimu wote kwa upendo mkubwa. Nawatakia ushindi mnono. Sijapita hapa siku nyingi.
Acha tumuangalie atafanya nini?Rafinha tu ndio wasi wasi wangu
[emoji2][emoji2] naona unabana matumiziGIF zinakula MB hizo ,wiki hii siweki mpaka wiki ijayo
Poa mkuu, lkn naona kukimbia anashindwAcha tumuangalie atafanya nini?
Hahah!!Mjinga wewe
Huyu jamaa kawa mtu muhimu sana kikosini, mfumo wa kocha aliepita ulikua unampotezaKazi nzuri ya Alba.
Asante mkuu karibu tenaJf barca fans nawasalimu wote kwa upendo mkubwa. Nawatakia ushindi mnono. Sijapita hapa siku nyingi.
Ata mimi nimemuona mkuu, sijui anaogopa nini?Poa mkuu, lkn naona kukimbia anashindw
Huo mguu alisha umia mkuuAta mimi nimemuona mkuu, sijui anaogopa nini?