Hivi Malcom anaweza kupiga winger ya kushoto?hizi ndio formations zinazoweza kutusahidia bila uwepo wa messi
dembele kulia
View attachment 909287
roberto kulia
View attachment 909289
malcom kushoto dembele kulia
View attachment 909290
rafinha kulia
View attachment 909291
Bado majeruhiUmtiti?
Hiki kikosi kina nipa mashaka sana leoBarca starting 11 Vs IntermilanView attachment 909700
Sijapenda hiki kikosi. ila winger ya Rafinha huwa na magoli ni vile tu siikubali RB ya roberto.Barca starting 11 Vs IntermilanView attachment 909700
Huyu Rafinha mm ndio kabisa simwamini, ngoja tusubiri mda unakimbia sanaSijapenda hiki kikosi. ila winger ya Rafinha huwa na magoli ni vile tu siikubali RB ya roberto.
Umeona sister!!?. hawa jamaa sikutegemea wawe walaini hivi. Tunawashambuliia mwanzo mwishombona hii game hata match za la liga ni ngumu Zaidi?
Hahaaa. poa Numby.Tunazama PM kugawana faida[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Numbisa Dear, dortmunnd wanaongoA goli la pili.Tunazama PM kugawana faida[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Numbisa Dear, dortmunnd wanaongoA goli la pili.