D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,058
Without King Game haitakuwa na msisimko aise...Mkuu unajua kwa miaka ya hivi karibuni mtu ukisikia El classico akili moja kwa moja inakimbilia kwa Mess na Ronaldo sasa Rona alishasepa tukabaki na Mess vichwani sasa nae tunaambiwa hayupo
Dah nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaaaaaaaa jana wakati naangalia mechi ya barcelona maeneo fulani nilikuwa nimekaa pamoja na kijana ambaye anaonekana ni muathirika wa ulevi wa kiswahili (gongo kali) basi baada ya lionel messi kufunga goli lake la 32 dhidi ya sevilla aliuliza swali moja la ajabu sana lililofanya wadau wote wanaoipenda barcelona na wanaoichukia barcelona wacheke kama vichaa.
aliliza swali lifuatalo:-
"hivi jamani hawa waandishi wa habari wa ulaya mpaka leo wameshindwa kuwafanyia mahojiano wazee wake lionel messi na kuwauliza walikuwa wanatumia chakula gani nyakati za usiku kabla hawajaingia kwenye pambano la kumtafuta mtoto lionel messi, kama walikuwa wanakula chipsi mayai nyakati za usiku basi watwambie na sisi wengine tujishindilie chipsi kabla hatujalala na wake zetu ili tupate mtoto mwenye kipaji kama Lionel messi".
baada ya dakika tatu mungu wa mpira akapata majeruhi kwa hali ilivyo inaonekana kuna malaika alichukizwa na kauli ya mlevi yule, na mimi nikaamua kwenda nyumbani kulala nilijihisi kama nitapoteza muda wangu kuangalia mechi bila ya sheikh messi kuwepo uwanjani.
nimebaki najiuliza muda huu kwa kipindi cha wiki tatu ambazo mungu wa mpira atakuwa likizo je ni nani atakayeuendesha ulimwengu wa mpira?
View attachment 906003
Dembele could be their biggest nightmare!Battle ya dembele na Marcelo itakuwa tamu. Kwenye supercup mwaka jana Marcelo alikuwa hatembei kwa Semedo. Na huyo ndiyo injini yao.
Dembele huu mfumo wa Barca unamsumbua nini? mbona anapoteza sana mipira?Dembele could be their biggest nightmare!
[emoji41][emoji41][emoji41]
Dembele namuonea huruma maana hata wale tuliopenda sana, tunaaza kupata wasiwasi.Dembele huu mfumo wa Barca unamsumbua nini? mbona anapoteza sana mipira?
Semedo naona he is getting there
Suarez lead the line well,ispokuwa nahisi someone has stolen his scoring boots
Ter Stegen naona hana mpinzani kwenye sayari hii
Timu yoyote itakayokuja na attacking soccer Barca will always come up tops,tatizo ni team zinazo park bus na kuvizia counter attack
Hahaaaahahahahaaaaaaaa jana wakati naangalia mechi ya barcelona maeneo fulani nilikuwa nimekaa pamoja na kijana ambaye anaonekana ni muathirika wa ulevi wa kiswahili (gongo kali) basi baada ya lionel messi kufunga goli lake la 32 dhidi ya sevilla aliuliza swali moja la ajabu sana lililofanya wadau wote wanaoipenda barcelona na wanaoichukia barcelona wacheke kama vichaa.
aliliza swali lifuatalo:-
"hivi jamani hawa waandishi wa habari wa ulaya mpaka leo wameshindwa kuwafanyia mahojiano wazee wake lionel messi na kuwauliza walikuwa wanatumia chakula gani nyakati za usiku kabla hawajaingia kwenye pambano la kumtafuta mtoto lionel messi, kama walikuwa wanakula chipsi mayai nyakati za usiku basi watwambie na sisi wengine tujishindilie chipsi kabla hatujalala na wake zetu ili tupate mtoto mwenye kipaji kama Lionel messi".
baada ya dakika tatu mungu wa mpira akapata majeruhi kwa hali ilivyo inaonekana kuna malaika alichukizwa na kauli ya mlevi yule, na mimi nikaamua kwenda nyumbani kulala nilijihisi kama nitapoteza muda wangu kuangalia mechi bila ya sheikh messi kuwepo uwanjani.
nimebaki najiuliza muda huu kwa kipindi cha wiki tatu ambazo mungu wa mpira atakuwa likizo je ni nani atakayeuendesha ulimwengu wa mpira?
View attachment 906003
Kuna ile header aliyoicheza McAndre, it was totally out of this world.Dembele huu mfumo wa Barca unamsumbua nini? mbona anapoteza sana mipira?
Semedo naona he is getting there
Suarez lead the line well,ispokuwa nahisi someone has stolen his scoring boots
Ter Stegen naona hana mpinzani kwenye sayari hii
Timu yoyote itakayokuja na attacking soccer Barca will always come up tops,tatizo ni team zinazo park bus na kuvizia counter attack
Uyu sianzi hata kama ataanzaDembele could be their biggest nightmare!
[emoji41][emoji41][emoji41]
Mi naamini na kila siku nasema humu, Dembele akichezeshwa kulia na nyuma awepo RB mwenye kasi kama Semedo anakuwa moto mkubwa sana. wamuache azoee RW tutaona moto wake. Kwenye kudefend yuko weak lakini bado ni moto sana kwenye kuattack.Dembele, hatadumu Barcelona otherwise he should change the way he plays, anapoteza mipira mno, alfu katika ku defence yupo very weak. Even though the fans are chanting when he has the ball, but the fact is jana nlimuona Ernesto Valverde akiwa amekasirika the way Dembele alivyokuwa anacheza. Neither Coutinho nor Dembele has played his maximum game
Akipangwa mechi na inter itabidi ajitoe kweli aisee lasivo benchi ataliona chunguMi naamini na kila siku nasema humu, Dembele akichezeshwa kulia na nyuma awepo RB mwenye kasi kama Semedo anakuwa moto mkubwa sana. wamuache azoee RW tutaona moto wake. Kwenye kudefend yuko weak lakini bado ni moto sana kwenye kuattack.
Ondoa shaka, wala sio mechi ngumu kwetu!Mnachotakiwa Barcelona ni kulinda mkeka wangu
Umtiti?Squad Vs Intermillan View attachment 908762