FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca ya sasa ni ku outscore opponents tu,cause mfumo wetu lazima adui atafika golini-Ingekuwa tuko usukumani ningesema Suarez kalogwa-haiwezekani mpira ukatae kuingia golini-hizi chance punde akianza kuzi convert itakuwa raha tupu
Jamaa sijui ana shida gani tu ila uzuri anaaminiwa na asiombe watu wamchoke
 
Without Messi in the classico, the game will be somehow balanced (tulitegemea kuwanyanyasa madridiots).

A good link between Dembele and Semedo could keep Marcelo silent through out the game.

Kwa upande mwingine naamini vijana watataka kuonyesha they can do it without Leo Messi.

Suarez has to step up and take the lead!
 
Battle ya dembele na Marcelo itakuwa tamu. Kwenye supercup mwaka jana Marcelo alikuwa hatembei kwa Semedo. Na huyo ndiyo injini yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…