FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

This is poetry!

Bandiko murua kabisa!
 
1. Uyu Arthur namuona Xavi kabisa mana ni box to box midfielder kama Xavi zile kampa kampa tena anazijua balaa. Ubora wake ni mzuri mno kwenye pasi fupi za kampa kampa tena ila mapungufu yake ni sio mzuri kwenye penetration pass na pass ndefu.
2. Beki za kati Lenglet na Pique mh ngoja tusubiri muda utaongea
3. Kipa tunae mzuri mno uyu Van Ter Stegen
4. Coutinho anaanza vizuri ila kipindi cha pili jana alikua anazingua tu.
 
hongera kwa Arthur anajua mpira ila hana creativity
Hana udambwi dambwi ka wa iniesta yule ni kama xavi mzee
Amejktahidi inabidi aongeze uwezo wa kupiga pass za mwisho, nadhani unazijua zile pass anazo piga messi (pass mpenyezo)
Like everyone, very happy with Arthur's game vs Tottenham. But I feel we're getting carried away, rushing things and putting unnecessary pressure on him by comparing him too much to the Maestro Xavi.
 
Uchambuzi mzuri mno...siku tujaribuivi pale kati awe busquet,coutinho na arhur afu mbele awe messi dembele na suarez
 
Coutinho anaachia mipira, namuonaga kama anabahatisha tu. Bora ya dembele kuliko huyu mbrazili hafai
 
Hapo ndipo mnapokosea, ni mapema Sana Huyu Dogo Bado hajakomaa. Hata Iniesta msimu wake wa kwanza na wa pili alionekana wa kawaida tu. ni Suala la muda tu
Halafu binadamu hatufanani kwa kiasi hicho
 
Xavi anasema mwaka ni mwezi May anatajia kupewa UEFA Pro License ya ku coach any team
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…