Sometimes timu nazo zinabeba sana. Jana nilikuwa nakaona kanafuata mpira hadi katikati. Barca kalikuwa kanatulia Jordi na Iniesta wanakapa mpira kanatoka nao mbio.Tatizo Neymar alijali pesa zaidi kuliko kipaji chake. Na hayo ndiyo malipo kwake...
Kikubwa wahakikishe anapata pasi kama za goli la 2 na la 3 kwenye game zote, plus ufundi alionao. Kama angelikuwa anapata "penetration passes" kama anazowapigia yeye, hakika kila msimu angekuwa anapiga goli 50+. Msimu huu naona atafikisha...
Mkuu naungana na wewe Barcelona imekuwa vulnerable sana kupitia counter attack na hii itatugharimu huko mbeleni hasa kwenye UEFA, ukiangalia vzuri utaona kana kwamba tunachezesha mabeki wawili tu na viungo watano.Kwa maoni yangu hatuna gear zaidi ya pale. Nina wasiwasi sana na hii timu. Imepunguza uwezo wa kukaa na mpira na maadui wanafika sana golini kwetu kwenye counter.
Mchana mwema mkuu.
Wale bado ni ma underdog uefa,, wazi potiHaina tofauti na Lipuli fc...alafu cha kushangaza wamenunua michezaji kwa pesa nyingi, uwanjani inarukaruka tu...bora wangemnunua dybala kuliko huyo bishoo
Sometimes timu nazo zinabeba sana. Jana nilikuwa nakaona kanafuata mpira hadi katikati. Barca kalikuwa kanatulia Jordi na Iniesta wanakapa mpira kanatoka nao mbio.
Mkuu naungana na wewe Barcelona imekuwa vulnerable sana kupitia counter attack na hii itatugharimu huko mbeleni hasa kwenye UEFA, ukiangalia vzuri utaona kana kwamba tunachezesha mabeki wawili tu na viungo watano.
Kabisa...Wale bado ni ma underdog uefa,, wazi poti
Barca pale mbele wanaingiliana sana hence mpira unapotea-kuna haja ya ku sort positioning,kuna cut backs nyingi zinapoteaKwa maoni yangu hatuna gear zaidi ya pale. Nina wasiwasi sana na hii timu. Imepunguza uwezo wa kukaa na mpira na maadui wanafika sana golini kwetu kwenye counter.
Huu ni ukweli, barca itakayo tisha pale mbele ni ya Dembele, Messi na CotinhoBarca pale mbele wanaingiliana sana hence mpira unapotea-kuna haja ya ku sort positioning,kuna cut backs nyingi zinapotea
Kwa kweli Neymar anatilia huruma. Barca was everything for himMagazeti ya Spain yanasema Barca kashinda match bila hata ya kutoka first gear-punde akipandisha gear inaweza kuwa hatari sana kwa opponents
Vilevile yanamsikitia Neymar kwamba at PSG ame derail kipaji chake bure
Nikatamu sana hasa kwa kaunta utakata ubaya, kakipita bega tu andika maumivu...Sometimes timu nazo zinabeba sana. Jana nilikuwa nakaona kanafuata mpira hadi katikati. Barca kalikuwa kanatulia Jordi na Iniesta wanakapa mpira kanatoka nao mbio.