FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Frank de Jong (Ajax) anasema Barcelona wamsajairi haraka iwezekanavyo kwani kucheza timu 1 na Messi10 ni ndoto zake toka akiwa mdogo. Nakaongeza kuwa, wakifanya hivyo itakuwa powa maana sasa Messi10 ana miaka 31.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…