FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aisee Barcelona sio poa kabisa sasa hawa si walikua wanaiadhibu hata goli kama 10 hivi..
Tumeshinda lkn sijavutiwa sana na mchezo wao. Mfumo bado haupo vzr kwa baadhi ya wachezaji, mfano Dembele na Coutinho kuzecha kwa pamoja bado hawaelewani vzr, nadhani kocha inabidi ajaribu siku moja kumuweka bench wacheze mbele pale Coutinho Messi Dembele

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usimfananishe King Messi na mmaliziaji...
 
Sure coutinho inaidi ajue kucheza na dembele maana anamuingilia sana
 
Nina mashaka na wewe ... nenda ukapende Juventus laliga ndio league bora ulaya :no doubt team bora zote zinatoka pale (UEFA,Europa na miaka michache iliyopita hadi Spain national team)
Mkuu Laliga imepoteza mvuto na morali tangu kuondoka kwa Cr7 ..Messi alikuwepo kabla ya Cr7; lakini huyu cr7 alipokuja alileta changamoto kubwa tu kwa Messi.

Sasa Messi kabaki peke yake tu hakunà wa kumpa Chalenji tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Cr wako mkuu, walikuwa wana mlinda/mbeba tu...angelikuwa anacheza kama King Messi sijui mngesemaje! Maana hajafikia hata robo yake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…