FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Very nice interview
 
Tunaanza msimu na hii vision

Messi as a new captain ametuahidi we shall do everything possible to bring back UEFA
Simply hii ndio siri ya vision ya club season 2018-19
So who am i niwapinge board ya Barcelona?kikosi ni kipana sana kama tuna kumbukumbu sawa AC Roma walitutoa kwa sababu ya match fatigue,new engagements za Arthur Mello (ambaye literally alishachukuliwa tangu February),Malcom ,Lenglet,Artulo Vidal na watoto kutoa Lamasia Cantera Carles Arena,Marc Cucurella,Miranda ,Ric Puig(new Xavi) ,Munir ,Rafinha etc wanatosha kabisa kikosi cha kwanza kupata rotation ya mapumziko

Msimu tunauanza huku mahesabau ya kuuza na kununua wachezaji yanatupa faida (cost benefit analysis) hatujatoa fedha so tuna ukwasi wa kutosha -financial muscles kama nilivyoainisha hapa chini kwenye attachment ,hii maana yake nini?ni kwamba hata kikosi cha mwakani kitakua bora zaidi ya cha mwaka huu cause tuna saving ya kutosha hivyo basi tuta meet future demand
Ni hayo tu Barca fans,Mes cue un club

Huu mwaka tutashinda kila kikombe kilichokua mbele yetu ,huu mwaka UEFA,laliga,Copa de ley ,Supercups yote ni ya kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu kitume na umu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, mkui kikosi cha msimu huu ni hatari sana. Ujio wa Malcom, arthur, lenglet na Vidal umefanya benchi letu liwe safi sana. leo hao wote wameitwa na majembe yale ya zamani. Nafikiri Ulaya hakuna kikosi bora kama chetu. Labda Suarez aanze kuzingua, maana kwa striker pekee ndiyo naona kuna walakini kidogo.
 
Suarez yuko fit mwaka huu kushinda hata last season
Mark my word utaniamini ninachokuambia ni suala la muda tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…