FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Walishakubaliana kuwa, kama Ajax wata qualify kucheza Uefa katika games wanazopiga sasa. Basi dogo watabaki nae msimu huu na kumwachia msimu ujao. Na kwamba kama hawatafuzu kucheza Uefa basi Dogo watamwachia hivi punde kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.Uyu de jong nataman sana aingie barca, dogo anajua lakn ajax wanaweka ngum
FT: Barca 3-0 Borca Junior (Malcom,Messi10,Rafihna).HT 2-0 ...malcom na messi ..
perfomance ya malcom vipi leoFT: Barca 3-0 Borca Junior (Malcom,Messi10,Rafihna).
Suarez anazidi kuwa mbovu sana ktk kumalizia. Leo pia kakosa mabao ya wazi, wakati yangepandisha confidence yake. Msimu ujao inahitajika back up ya Suarez kama siyo replacement kabisa.
Kajitahidi sana dogo, anazoea mfumo haraka sana. Anacheza kwa kujiamini bila wasi wowote kwa kweli. Akipiga pasi zinafika, mashuti yake ya mbali yako poa, anauwezo wa kukimbia pembeni na mpira kisha akapiga cross vema. Kifupi yuko poa yaani.perfomance ya malcom vipi leo
Yaani dirisha dogo inatakiwa kuingia sokoni kutafuta Striker.FT: Barca 3-0 Borca Junior (Malcom,Messi10,Rafihna).
Suarez anazidi kuwa mbovu sana ktk kumalizia. Leo pia kakosa mabao ya wazi, wakati yangepandisha confidence yake. Msimu ujao inahitajika back up ya Suarez kama siyo replacement kabisa.
Kabisa MkuuYaani dirisha dogo inatakiwa kuingia sokoni kutafuta Striker.
Mpaka sasa ni 2-2. Ngoja tuone muda wa nyongezaMashabiki wa Barcelona bana sasa we unafikiri A. Madrid wataifunga R. Madrid
Sema naona wanajiamini sana A. Madrid hii yote ni Ronaldo kasepaMpaka sasa ni 2-2. Ngoja tuone muda wa nyongeza
Madrid 2-4 AtleticoSema naona wanajiamini sana A. Madrid hii yote ni Ronaldo kasepa
Muda wao wa kulipiza visasiMadrid 2-4 Atletico
[emoji3] [emoji3] [emoji3] I seeTrust me, el classico is going to be our easiest game this season!
Mashabiki wa Barcelona bana sasa we unafikiri A. Madrid wataifunga R. Madrid