You said it all!Article 2
Kwanini usajili wa Artulo Vidal?
1.Ana characteristics za Paulinho ambaye aliweza ku manage kuwa key player na kipenzi mkubwa sana wa Velverde Ernesto
Kwa ufupi hata mimi nilishangaa lakini Marca waliripoti Paulinho aliuzwa kinyume na matakwa ya kocha -i concour 100% kwa sababu muda team haina offensive midfielder utauzaje reserve?Iniesta ameenda kula hela Japan ,why selling Paulinho ambaye ana offer offensive na defensive mid fielder roles ?so Ernesto needed replacement
2.Ana experience:Artulo ni type ya players wa lion style die hard and very strong players
Hata team ikiwa na matokeo mabaya unahitaji midfielder zenye roho mbaya kama yeye ili waweze kukata umeme na kushambulia team pinzani
3.Artulo is good at aerial duels
Artulo Vidal ni mzuri sana kwenye mipira ya juu kwa kuzuia na kufunga ;Barca damu tunajua udhaifu wetu especially kwenye kuzuia corners na kushambulia -tuna magoli machache sana ya vichwa ,hii inategemea nature ya attackers wetu ambao wengi sio wazuri kwenye mipira ya juu(Messi ,Coutinho)
4.Tunataka UEFA :so ni bora usajili ufanyike mapema hatutaki mambo ya mwaka jana tunasajili wachezaji wazuri.. (coutinho ) katikati ya msimu halafu tunafungwa na sheria za UEFA mchezaji haruhusiwi kucheza
5.Velverde / Barcelona style;kwa kumchukua vidal Ivan Rakitic atapata chance zaidi ya ku play offensive roles(attacking) ambapo akishirikiana na Busquets naiona defence ngumu sana ya Barcelona ambayo imeongezewa kijana Lenglet .Ni hivi kwa sababu ya tabia ya Artulo Vidal kucheza all round (wide katikati ) ana possession ability na passing naiona Barcelona ambayo itakua haipitiki katikati na ambayo inashambulia muda wote can you imagine hapa sijamtaja Messi na Coutinho ambao pia wanacheza wide katikati?kuna uwezekano mkubwa Messi na El Pisterelo (Suarez) wakawa na magoli mengi sana msimu unaokuja na possibly season ya 2012-2013 ya Messi kufunga goli 91 itajirudia
Namaliza :Vidal kwa age yake ni short term solution ,big up kwa Eric Vidal kuwachukua Arthur Mello "msikivu and focused" ambaye mimi namuona kama the next iniesta
This is my pure analysis based on my intuition na experiences kama mwanachama damu wa Barca
Atakuwa puig ana miaka 18Kuna dogo aliva jersey namba 8, yaani huyu ndio kiboko ya wote hao na ni mdogo kuliko wote. Sijui jina lake ni nani
Super fine analysis Mkuu!. Ngoja msimu uanze, hapa tunaungoja kwa hamu.Article 2
Kwanini usajili wa Artulo Vidal?
1.Ana characteristics za Paulinho ambaye aliweza ku manage kuwa key player na kipenzi mkubwa sana wa Velverde Ernesto
Kwa ufupi hata mimi nilishangaa lakini Marca waliripoti Paulinho aliuzwa kinyume na matakwa ya kocha -i concour 100% kwa sababu muda team haina offensive midfielder utauzaje reserve?Iniesta ameenda kula hela Japan ,why selling Paulinho ambaye ana offer offensive na defensive mid fielder roles ?so Ernesto needed replacement
2.Ana experience:Artulo ni type ya players wa lion style die hard and very strong players
Hata team ikiwa na matokeo mabaya unahitaji midfielder zenye roho mbaya kama yeye ili waweze kukata umeme na kushambulia team pinzani
3.Artulo is good at aerial duels
Artulo Vidal ni mzuri sana kwenye mipira ya juu kwa kuzuia na kufunga ;Barca damu tunajua udhaifu wetu especially kwenye kuzuia corners na kushambulia -tuna magoli machache sana ya vichwa ,hii inategemea nature ya attackers wetu ambao wengi sio wazuri kwenye mipira ya juu(Messi ,Coutinho)
4.Tunataka UEFA :so ni bora usajili ufanyike mapema hatutaki mambo ya mwaka jana tunasajili wachezaji wazuri.. (coutinho ) katikati ya msimu halafu tunafungwa na sheria za UEFA mchezaji haruhusiwi kucheza
5.Velverde / Barcelona style;kwa kumchukua vidal Ivan Rakitic atapata chance zaidi ya ku play offensive roles(attacking) ambapo akishirikiana na Busquets naiona defence ngumu sana ya Barcelona ambayo imeongezewa kijana Lenglet .Ni hivi kwa sababu ya tabia ya Artulo Vidal kucheza all round (wide katikati ) ana possession ability na passing naiona Barcelona ambayo itakua haipitiki katikati na ambayo inashambulia muda wote can you imagine hapa sijamtaja Messi na Coutinho ambao pia wanacheza wide katikati?kuna uwezekano mkubwa Messi na El Pisterelo (Suarez) wakawa na magoli mengi sana msimu unaokuja na possibly season ya 2012-2013 ya Messi kufunga goli 91 itajirudia
Namaliza :Vidal kwa age yake ni short term solution ,big up kwa Eric Vidal kuwachukua Arthur Mello "msikivu and focused" ambaye mimi namuona kama the next iniesta
This is my pure analysis based on my intuition na experiences kama mwanachama damu wa Barca
[emoji574] [emoji573] [emoji574] [emoji573] [emoji574] [emoji573] [emoji574]You said it all!
Huu msimu tutanyanyasa European football bila chembe ya huruma. Nawahurumia madridiots!
Hold your jetpack, we're about to fly!
Kama enzi za ready to fly tu.Naona tuna win treble jamani this is super Barcelona
Kitu kizuri zaidi team yetu Wachezaji wengi ni wadogo kwenye team ( le super mixture)
Be scared our opponent
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
AsIe anamacho sana, pass zake ni hatari. Yaani jana nilimuona kama ineista hiviAtakuwa puig ana miaka 18
PuigKuna dogo aliva jersey namba 8, yaani huyu ndio kiboko ya wote hao na ni mdogo kuliko wote. Sijui jina lake ni nani
Pure Lamasia talented player. Dogo anatisha sana kama mvua, utafikiri kazaliwa na mpira miguuni. Confident & very determined.AsIe anamacho sana, pass zake ni hatari. Yaani jana nilimuona kama ineista hivi
Malcon, Leglet, Arthur na VidalHabari wana catalunya
Naomba mtume majina na picha za wachezaji wapya wa Barca msimu huu
Asante
Duuh pogbe tenaMino Raiola jets in to Manchester to present £100m offer for Paul Pogba from Barcelona