Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Huko Twitter dembele analike kila kitu kibaya kinachosemwa juu yake.. Kuna jamaa aliandika kwamba Dembele wenzako wako kambini wakitrain hard wewe una party huko marekani wakati una uhakika wa namba... Dogo akalike hii na kuiretweet. Ahahaha!Namuonea huruma aisee naiona safari yake
Daah! Asije tu, tunabeki zakutosha sana. Atakuja kutusababishia kadi nyekundu kwenye game muhimu huyo....Arturo Vidal eti anataka kuja Barca?
Ngoja tusikilizie inakuaje
Vidal beki tokea lin???..vidal ni mchezaji wa kati mkabajiDaah! Asije tu, tunabeki zakutosha sana. Atakuja kutusababishia kadi nyekundu kwenye game muhimu huyo....
Ooh!!! Sawa. Ndo nimeona pia huko All Football kumbe ni Mid. Basi ndiyo itakuwa 7bu yao msingi maana Valverdi anahitaji mid-zoefu pale kati baada ya kuondokewa na Maestro-fundi-Iniesta pamoja na Paulihno.Vidal beki tokea lin???..vidal ni mchezaji wa kati mkabaji
Aje tu maana busquets anahitaji kupumuzikaDaah! Asije tu, tunabeki zakutosha sana. Atakuja kutusababishia kadi nyekundu kwenye game muhimu huyo....
Vidal haumjui vizuri mkuu bora ukae kimyaMbona bodi ya usajili kama imechanganyikia? Hivi ni kweli wameamua kumchukua Vidal?
Aisee, tunaenda kupoteza €30M za bure kabisa. Sababu gani ya msingi kwanza iliyopelekea kufikiwa kwa maamuzi haya?
Kifupi nimegadhabika sana aiseee
Sawa MkuuVidal haumjui vizuri mkuu bora ukae kimya
Vidal utaona faida yake siku tukikutana na viungo wakorofi kama wa AC romaSawa Mkuu
Basi kama vipi aje tu maana tunataka treble musimu huu. Eric Abidal anachakalika naona ameamua kuirudisha barca ya enzi zao...Vidal utaona faida yake siku tukikutana na viungo wakorofi kama wa AC roma
Tumesha kutana na agent wa pogbaOoh!!! Sawa. Ndo nimeona pia huko All Football kumbe ni Mid. Basi ndiyo itakuwa 7bu yao msingi maana Valverdi anahitaji mid-zoefu pale kati baada ya kuondokewa na Maestro-fundi-Iniesta pamoja na Paulihno.
Lakini kwa jinsi alivyo yule,,,,atatutiaa hasara kibao-kucheza pungufu uwanjani (red card) kuliko faida hasa ktk game muhimu. Ila naona Valverdi atakuwa kabariki hiyo deal maana kaona kila mid-zoefu anayotaka inagoma, na msimu nao karibu ndo unaanza hivo.
Ngoja tuone
Abida alikanusha ingawa pia yawezekana alikanusha ili kuepuka miiko ya usajili wa kinyamela
Hawa wote walitoka mapema kwenye kombe la dunia, ambao hawaja ridi walifika mbali zaidi kwenye kombe la duniaHivi kuna kitu najiuliza mbona wale first eleven ya Barca ambao wametoka kwenye La Masia wamesharudi toka rikizo na wameanza training toka jana lakini wengine bado?
Ila angetuletea alcantara ingekuwa poa sanaKuna kitu nimegundua kwa Abidal yuko so aggressive i like it
Alcantara injury Nyingi yuleIla angetuletea alcantara ingekuwa poa sana