Yeah wana DNA ya BarcaMkuu umemuona Arthur alivyokua ana control dimba pale kati, akina Eriksen aliwapoteza, hata sare waliopata ndani ya 90 kwa sababu alifanya sabu timu nzima na kuwaweka wale wadogo.
Ila wameonesha ufundi kwenye penati.
Left winga Malcon anatosha sana,
Karibu sana MkuuAm back
Am fully back
Thanks very much kwa tour ,nilikua nafuatilia karibu kabisa transfer window na WC ,kama Barca Fan na declare interest tulifanya mistake kumuachia Paulinho atoke muda huo bado tuna pengo la midfield so i hope siku chache zilizobaki Segura ,Abidal watafanya mambo the best options should be
Nzonzi,Moreno au big name from England(kama short term solution) but players wao wana inflate bei huyu Rabiot ningependa aje ila waarabu wana roho mbaya sana hawawezi kutuachia
Meanwhile ningependa team ifanye usajiri wa winger wa kushoto awe matured (big name) kama short term solution
Nilikua naangalia kikosi changu B wakati kinacheza na Tot nimegundua Rafinha asiende tena intermilan kwa jinsi team ilivyo sasa hivi he can fit left wing (to add options)
Officially natangaza tu huu ndio mwaka wa treble mark my word
Kikosi kiko very strong tunaingia very determined added advantage kocha ameshaeleweka ,replacements ni nyingi na za uhakika so wachezaji wa first team hawatakua na match fatique kama ilivyotokea siku tunacheza na AC RomaKwa nn mwaka huu ndio uwe wa treble na sio mwaka Jana(msimu uliopita)?
Mkuu@Red Giant upo kama kawa?match ya international cups kama hizi zinaonyeshwa startimes tu basi kwenye channel ya World footballWakuu vipi. mchezo ulikuwaje. Rafinha na Malcom walicheza poa?
Karibu Mkuu tupo kama kamaida ....Wadau Habari!
Kitambo sana, Nimerudi Tena Kundini MwanaBlaugrana!
Ndio Mkuu Shuguli za Hapa na Pale zilitubana vipi Mkuu Mwekundu yupo??Karibu Mkuu tupo kama kamaida ....
Mwekundu nae kareje hivi maleo tu. Naona wengi wetu tulipotea sana. Karibuni, msimu ndo huo unarejea, tutegeme soka la kuvutia kupita msimu uliopita maana tulikuwa tunashinda bila mvuto aisee...!!!Ndio Mkuu Shuguli za Hapa na Pale zilitubana vipi Mkuu Mwekundu yupo??
Yaah pia tumefanya usajili wa Maana kidogo..Mwekundu nae kareje hivi maleo tu. Naona wengi wetu tulipotea sana. Karibuni, msimu ndo huo unarejea, tutegeme soka la kuvutia kupita msimu uliopita maana tulikuwa tunaahinda bila mvuto aisee...!!!
Lenglet, Arthur na Malcom wako vizuri hawa nafikiri kwao kuzoea mfumo wa timu yetu haitachukua muda. Nimewaona ICC walicheza poa tu...Yaah pia tumefanya usajili wa Maana kidogo..
Nipo mkuuu namasteNdio Mkuu Shuguli za Hapa na Pale zilitubana vipi Mkuu Mwekundu yupo??
Nilipotea kama wewe kwa muda wa miezi miwili am back ;since match ya mwisho ya Laliga ya Barca ndo narudi leoWadau Habari!
Kitambo sana, Nimerudi Tena Kundini MwanaBlaugrana!
Asee Najua Hujapata Hii Habari Mkuu, Ufaransa Alichukua Kombe la Dunia baada ya kumfunga Ctoatia 4-2Nilipotea kama wewe kwa muda wa miezi miwili am back ;since match ya mwisho ya Laliga ya Barca ndo narudi leo
Ha ha niliumia siku ameifunga Argentina timu ya utoto wangu enzi za akina Batistuta,Requelme,Crespo,Sorin,Max Rodriguez etc kipindi hiko ka Messi kadogo...anaingia kama SubAsee Najua Hujapata Hii Habari Mkuu, Ufaransa Alichukua Kombe la Dunia baada ya kumfunga Ctoatia 4-2
Hahahaa akuna Mwana Barca ambaye hakuumia sema Hakuna Namna..Ha ha niliumia siku ameifunga Argentina timu ya utoto wangu enzi za akina Batistuta,Requelme,Crespo,Sorin,Max Rodriguez etc kipindi hiko ka Messi kadogo...anaingia kama Sub
Mkuu umemuona Arthur alivyokua ana control dimba pale kati, akina Eriksen aliwapoteza, hata sare waliopata ndani ya 90 kwa sababu alifanya sabu timu nzima na kuwaweka wale wadogo.
Ila wameonesha ufundi kwenye penati.
Left winga Malcon anatosha sana,