Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Hahaha
Namwambia kuna mechi za brazili za usiku hana shda
Ila tukiwa tuna angalizia hom ana maswali kweli hadi nashindwa kuangalia mpira vzuri
Hata hili la bet nahitaji elimuWanadai kipindi cha mkwere fursa zilikua vitu vya asili sijui matrevo,maforever living
Kipindi cha jiwe ni kipindi cha kamari
HahahahMadrid mtufunge barca?
Au liva mtufunge chelsea?
Au usm alger mtufunge yanga??
HahahaHahaha shem weweHata hili la bet nahitaji elimu
Hujajibu swali mtani, ila umekimbia swali. Nani kasema mimi simuheshimu Ronaldo?Mniambie mashabiki wa Messi kwa nini hamumuheshim Ronaldo?
Anyway this is about Iniesta namuheshim sanaa. Hata Bernabeu tuliwahi mpa standing ovation
HahahaHujajibu swali mtani, ila umekimbia swali. Nani kasema mimi simuheshimu Ronaldo?
Swali ni kwanini unamheshimu iniesta pekee na si La pulga?
Messi sio legend wa Barca?Hahaha
Iniesta ni Legend wa club na ni mstaarabu na ni mchezaji pekee ambaye anamuheshim Ronaldo.
Sisi kama wana Madrid tuna mkubali Iniesta
Sawa brazaMessi sio legend wa Barca?
Messi hamheshimu Ronaldo?
Mtu asipo mheshimu Ronaldo na wewe haumheshimu?
Mkuu, nilikua nazingua tu kimtindo.Sawa braza
Namheshim Messi
Namheshimu na namkubali Iniesta
Iniesta ni legend wa Dunia maana kashinda kila aina ya kombe alilo pigania
Hamna Messi should be respected, siyo lazima umpende lakin ana faa kuheshimiwa.Mkuu, nilikua nazingua tu kimtindo.
Ni vigumu sana kumpenda mchezaji aneongoza kwa kuifunga team yako.
By the way, anyone who loves football loves iniesta
Kesho ipigwe 4-3-3.Kuna mechi kabla ya ligi Semedo alimdhibiti Marcelo vilivyo. natamani kesho aanze.
Nmekuelewa mkuu, simpendi penaldo ila namheshimu sana!Hamna Messi should be respected, siyo lazima umpende lakin ana faa kuheshimiwa.
Ila Iniesta is Pure soul of football
Hiyo Messi, Coutinho, Suarez na Dembele ilishaanza kuitwa fantastic four. Kuna siku waliupiga sana. Sema ni shida sana kuwachezesha Iniesta na Coutinho kwenye 433. Na kesho lazima Iniesta acheze.Kesho ipigwe 4-3-3.
Messi, Suarez, Coutinho, Dembele, Iniesta wote ndani. Jamaa watazikoga nyingi sana!
Yeah! Si mbayaNmekuelewa mkuu, simpendi penaldo ila namheshimu sana!
Kama sio mesi, basi yeye ndo angekua mfalme (hapa najua hatutakubaliana).
Dembele na coutinho wana u fabtastic gani ?Hiyo Messi, Coutinho, Suarez na Dembele ilishaanza kuitwa fantastic four. Kuna siku waliupiga sana. Sema ni shida sana kuwachezesha Iniesta na Coutinho kwenye 433. Na kesho lazima Iniesta acheze.
Umeona chances anazotengeneza Dembele? umeona magoli ya Coutinho yalivyo ya kifundi? Halafu kesho akicheza atafanya juu chini awafunge. huwezi fananisha winger ya Dembele na winger ya Vasquez.Dembele na coutinho wana u fabtastic gani ?
Acheni vituko majirani
Winger ya vasquez inacheza fainali ya ulaya mara ya 3 nowUmeona chances anazotengeneza Dembele? umeona magoli ya Coutinho yalivyo ya kifundi? Halafu kesho akicheza atafanya juu chini awafunge. huwezi fananisha winger ya Dembele na winger ya Vasquez.
We don't take advice from our rivals!Winger ya vasquez inacheza fainali ya ulaya mara ya 3 now.
Dembele ni mchezaji pekee wa barca asiye na Iq ya kuchezea barca. Bora hata Coutinho
HahahaWe don't take advice from our rivals!
As i said, hatuchukui ushauri wa mahasimu wetu!Hahaha
Angalia ukweli Dembelw ni aina ya wachezaji wa Chelsea siyo barcelona mchezaji gani wa barca hana unyumbufu kabsa
Hahahaa! No man kwa yule bado sanaa