BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Ni kama mm sikutamani kuja humu tena
paulinho, andre gomez, paco alcacer, alex vidal.
kwa maoni yangu ili msimu ujao barcelona iwe ni timu ya ushindani zaidi kwenye ligi ya mabingwa basi wachezaji wanne hawa wanapaswa watafutiwe mbadala. ukiwaangalia real madrid japokuwa msimu huu hawajafanya vizuri kwenye ligi kuu utagundua wana substitution nzuri zaidi kuliko barcelona kwenye eneo la mbele.
barcelona si timu ya kusajiili wachezaji wa kufanyia majaribio.
uwepo wa sergio roberto ni zawadi kutoka mbinguni kwa klabu ya barcelona kwa sababu anaweza kucheza nafasi ya alex vidal, andre gomez, paulinho na hata nafasi ya paco alcacer.
kama klabu itawauza wachezaji hawa wanne na baadae kusajili wachezaji watatu watakaoleta ushindani wa kugombea nafasi basi upo uwezekano wa kurudisha heshima ya msimu wa 2008.
umefika wakati wa barelona kupunguza watumishi hewa.
tusisahau pia andres iniesta anatazamiwa kuondoka mwishoni mwa msimu na pia performance ya osmane dembele haina tofauti na homa ya vipindi msimu huu.
Ubingwa bado ila now mnahitaji Draw moja tu ili muwe mabingwaWakuu, atletico amedraw. Vipi tuanze sherehe za ubingwa ama bado?
Naomba link mkuuMadogo wanaongoza huko fainali UEFA u-19.
Chelsea wanakaa
Natumia mobdro mkuuNaomba link mkuu
Poa ngoja nichekNaomba link mkuu
Kocha anakazi kubwa sana kusafisha yale makosa. Hawa liver wanavyoachia maspace hivi, tungeua.dah..........kocha katunyima haki yenu ya msingi nina hakika leo liver wangekuwa maji wanaita mma
Roho inaniuma sana hata kutazama mpira yani awa mbwa leo wanapigwa tano aiseee yani nina hakika leo anfield watu wangekuwa wanajikunyata huyu kocha msengerema sana yani nazidi kumchukia ata kama tunachukua makombe mawili lakini hayawezi kutibu maumivu yanguKocha anakazi kubwa sana kusafisha yale makosa. Hawa liver wanavyoachia maspace hivi, tungeua.
Kiukweli Barcelona mliniudhu sana siku ile yaani mlishindwa kufunga hata goli moja hawa wapuuzi wanaofungwa tano? Mmetuharibia nusu fainali kabisa.Roho inaniuma sana hata kutazama mpira yani awa mbwa leo wanapigwa tano aiseee yani nina hakika leo anfield watu wangekuwa wanajikunyata huyu kocha msengerema sana yani nazidi kumchukia ata kama tunachukua makombe mawili lakini hayawezi kutibu maumivu yangu
Kiukweli Barcelona mliniudhu sana siku ile yaani mlishindwa kufunga hata goli moja hawa wapuuzi wanaofungwa tano? Mmetuharibia nusu fainali kabisa.
Barcelona vs Liverpool ingekuwa ni bonge la game
Kiukweli Barcelona mliniudhu sana siku ile yaani mlishindwa kufunga hata goli moja hawa wapuuzi wanaofungwa tano? Mmetuharibia nusu fainali kabisa.
Barcelona vs Liverpool ingekuwa ni bonge la game
Roho inaniuma sana hata kutazama mpira yani awa mbwa leo wanapigwa tano aiseee yani nina hakika leo anfield watu wangekuwa wanajikunyata huyu kocha msengerema sana yani nazidi kumchukia ata kama tunachukua makombe mawili lakini hayawezi kutibu maumivu yangu