Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Nampemda sana iniesta he is super humble, shy, and kind.If heaven really exists, then Iniesta has a place up there!
Yani jana refaree kafanya maamuzi ndivyo sivyo, Iniesta akapanic na kumfokea. Lakini alivyotulia akaenda kumuomba refa msamaha!
That guy is a saint.
Inasikitisha kwamba huu ndio msimu wa mwisho kumuona akipigania uzi wa the blaugrana!
You said it all!Nampemda sana iniesta he is super humble, shy, and kind.
Ni mpole na mkimya sana niliwahi kusikia interview ya Bosquet anadai iniesta ni mkimya na mpole sana na inafikia kipindi wakiwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo hadi wamwite ndio wajue yumo unless unaweza kuhisi hayumo vyumbani kwa ukimya wake.
Jana kalia sana iniesta yaani ile ndio fainali yake ya mwisho na Barcelona. Timu ambayo kaanza kuipenda na kuitumikia akiwa na miaka 8 tu hadi Leo hii kazeeka. Inaumiza sana. Nenda Don...history will will never forget you as one of the best duo midfielder to have ever walk into this earth.
Waspanish wanasema Un canto a Galicia.. Quando saudade soy emanor soy amigos el compañero.
Mucho gracies el maestro! Iniesta.
Haya tunayaita maneno ya mkosaji. Marco Asensio anakuja kuchafua record yenu pale pale camp nouMadrid ni kama tom boy!
Huko mtaani anawakazia watu wanamuona mgumu kweli kweli.
Ila akifika gheto anavaa kanga alafu wahuni wanajipakulia!
Trust me, tunachukua hii Laliga tukiwa unbeaten mpaka mwisho wa msimu!
Hahahahaha....!!! Kwani barca ndio huwa hapiti kwa figisu figisu mkuu?Mwaka jana bayern walifanyiwa figisu mkapita, mwaka huu juve wamefanyiwa figisu mmepita. mwaka jana kwenye ligi tulifanyiwa figisu huku mkibebwa mkachukua ligi. Makombe ya magumashi hata ladha hayana. Iliona vidume jana tumemtungua mtu 5.
Mwaka huu michuano ya world cup itaamua nani achukue balloon d'or endapo kama Madrid watachukua uefa lakini.Coper del Rey haitusadiii kwenye Ballon D'or. Haina impact.
FIFA wanaangialaga makombe yanayokutanisha International borders.
So Sad, Jana alipiga mpira mkubwa sana, kira raheli kama akichomoka. Tutamkumbuka daima kuliko yeye atakavyo tukumbuka sisi.If heaven really exists, then Iniesta has a place up there!
Yani jana refaree kafanya maamuzi ndivyo sivyo, Iniesta akapanic na kumfokea. Lakini alivyotulia akaenda kumuomba refa msamaha!
That guy is a saint.
Inasikitisha kwamba huu ndio msimu wa mwisho kumuona akipigania uzi wa the blaugrana!
Daah!!! Nilimwona akilengwa na chozi la huzuni. Mungu ampe maisha marefu zaidi ili aendelee kutimiza ndoto zake hasa za baada ya soka la kulipwa.Nampemda sana iniesta he is super humble, shy, and kind.
Ni mpole na mkimya sana niliwahi kusikia interview ya Bosquet anadai iniesta ni mkimya na mpole sana na inafikia kipindi wakiwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo hadi wamwite ndio wajue yumo unless unaweza kuhisi hayumo vyumbani kwa ukimya wake.
Jana kalia sana iniesta yaani ile ndio fainali yake ya mwisho na Barcelona. Timu ambayo kaanza kuipenda na kuitumikia akiwa na miaka 8 tu hadi Leo hii kazeeka. Inaumiza sana. Nenda Don...history will will never forget you as one of the best duo midfielder to have ever walk into this earth.
Waspanish wanasema Un canto a Galicia.. Quando saudade soy emanor soy amigos el compañero.
Mucho gracies el maestro! Iniesta.
And the vice versa is true...Haya tunayaita maneno ya mkosaji. Marco Asensio anakuja kuchafua record yenu pale pale camp nou
Velverde ana kesi ya kujibu siku ya AC Roma nimekumbuka kudadadeki roho ishaanza kuuma
Kwanini team haikucheza kama inavyofanya leo? Daah anyways Copa Del Ley tayar la kwetu
Nampemda sana iniesta he is super humble, shy, and kind.
Ni mpole na mkimya sana niliwahi kusikia interview ya Bosquet anadai iniesta ni mkimya na mpole sana na inafikia kipindi wakiwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo hadi wamwite ndio wajue yumo unless unaweza kuhisi hayumo vyumbani kwa ukimya wake.
Jana kalia sana iniesta yaani ile ndio fainali yake ya mwisho na Barcelona. Timu ambayo kaanza kuipenda na kuitumikia akiwa na miaka 8 tu hadi Leo hii kazeeka. Na anahamia China hatacheza tena na Messi wala Sergio Inaumiza sana. Nenda Don...history will will never forget you as one of the best duo midfielder to have ever walk into this earth.
Waspanish wanasema Un canto a Galicia.. Quando saudade soy emanor soy amigos el compañero.
Mucho gracies el maestro! Iniesta.
Liver akichukua UCL coutinho anapata medali pia.Hahaha, hata hivyo Liverpool ina nafasi kubwa ya kuchukua UCL
Hatimae Jana mkachukua ka kupigia mswaki! Hongereni
Nilichukia sana siku ileMkuu! yani Mpaka now machungu hayajaisha kwa huyu kocha,, nnahasira naye sana...ile game sio ya kutolewa kivile ukizingatia tulikuwa na goli 4...angalia Game ya jana ilikuwa fire sanaa.....
Nilichukia sana siku ile
Ni kama mm sikutamani kuja humu tenaMkuu! Yani we acha tu,, ndio maana nimepotea humu since tutolewe na hao madogo. Maana tulishajiwekea lile kombe ni letu kabisa ....kwakweli inauma sana,
Umeongea vema Mkuu. Kuna 1 anaitwa Arthur kutoka Brazil tayari tulisha msajili alikuwa tu anasubiri kuondoka kwa fundi Iniesta ili atie maguu.paulinho, andre gomez, paco alcacer, alex vidal.
kwa maoni yangu ili msimu ujao barcelona iwe ni timu ya ushindani zaidi kwenye ligi ya mabingwa basi wachezaji wanne hawa wanapaswa watafutiwe mbadala. ukiwaangalia real madrid japokuwa msimu huu hawajafanya vizuri kwenye ligi kuu utagundua wana substitution nzuri zaidi kuliko barcelona kwenye eneo la mbele.
barcelona si timu ya kusajiili wachezaji wa kufanyia majaribio.
uwepo wa sergio roberto ni zawadi kutoka mbinguni kwa klabu ya barcelona kwa sababu anaweza kucheza nafasi ya alex vidal, andre gomez, paulinho na hata nafasi ya paco alcacer.
kama klabu itawauza wachezaji hawa wanne na baadae kusajili wachezaji watatu watakaoleta ushindani wa kugombea nafasi basi upo uwezekano wa kurudisha heshima ya msimu wa 2008.
umefika wakati wa barelona kupunguza watumishi hewa.
tusisahau pia andres iniesta anatazamiwa kuondoka mwishoni mwa msimu na pia performance ya osmane dembele haina tofauti na homa ya vipindi msimu huu.