FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daaaaaaah nimefurahi sana ATM kufungwa. Naomba mechi ijayo tushinde ili tutangaze ubingwa. Pia hata kama Zidane kakataa kutufanyi Guard oh honour tutajifanyia kimoyo moyo
 
Athletico kalala 3-0, game ijayo ya la liga tunatangaza La liga
itakuwa kisheria bado. tukishinda tutakuwa a point 86 na atletico wakishinda watakuwa na 74 huku wote tukibakiza mechi nne . Itakuwa inasubiriwa tupoteze zote na wao washinde zote.
 
Daaaaaaah nimefurahi sana ATM kufungwa. Naomba mechi ijayo tushinde ili tutangaze ubingwa. Pia hata kama Zidane kakataa kutufanyi Guard oh honour tutajifanyia kimoyo moyo
Kifupi full shangwe yaani!
 
itakuwa kisheria bado. tukishinda tutakuwa a point 86 na atletico wakishinda watakuwa na 74 huku wote tukibakiza mechi nne . Itakuwa inasubiriwa tupoteze zote na wao washinde zote.
Si kweli Fanya mahesabu yako vizuri Mkuu
 
itakuwa kisheria bado. tukishinda tutakuwa a point 86 na atletico wakishinda watakuwa na 74 huku wote tukibakiza mechi nne . Itakuwa inasubiriwa tupoteze zote na wao washinde zote.
"Their 'closest' rivals Atletico Madrid suddenly lost to Real Sociedad 3-0."

"It means that Barca's 12-point lead has remained and they need only three more points to wrap up the LaLiga title."

FCB Live App....
 
itakuwa kisheria bado. tukishinda tutakuwa a point 86 na atletico wakishinda watakuwa na 74 huku wote tukibakiza mechi nne . Itakuwa inasubiriwa tupoteze zote na wao washinde zote.
Sisi tukishinda mechi moja tunakua na point 86 ambazo yeye kufikisha lazima ashinde mechi zote zilizobaki.
Hicho bado hakitamsaidia sababu sisi tuna advantage ya kutoa sare kwake na kumfunga kwetu ko automatic Barca will be a Champion
 
hapa nimekupata mkuu.
 
Mwisho wa MSIMU huyo kocha wetu Atapokea Pongezi Nyingi sana

Watu wanalalamika for nothing

Huyu kocha kafanya makubwa mnoooooo
Licha ya kikosi kuchoka due to fatigue
 
Kwa huyu kocha mtaishia Spain tu lakini ulaya mtamwachia zidane
 
Kwa kauli yako hii maana ya tuta dominate ball la Spain-Laliga. Swali, je? Unaweza kuwa bora Spain alafu ukafeli kuwika Ulaya muda wote?....
 
#CopaBarça squad!

1.Ter Stegen
2.Semedo
3.Piqué
4.Rakitic
5.Sergio
6.Denis Suárez
8.Iniesta
9. Suárez
10.Messi
11.Dembélé
13.Cillessen
14.Coutinho
15.Paulinho
17.P. Alcácer
18.Jordi Alba
19.Digne
20.S.Roberto
21.André Gomes
22.Aleix Vidal
23.Umtiti
24.Y.Mina
25.Vermaelen
 
Oyoooo finally am back demage controlled
Tunachukua Copa de ley leo na next week Madrid tunawakalisha Camp Nou goli tatu bila
 
Sad news kuna kila ishara Iniesta anaondoka Barcelona kuelekea china
Other side ya kuondoka kwake:kutampa nafasi kubwa ya kucheza midfielder Sergio Roberto na Dennis Suarez
I always dreamed siku hiyo itakuaje Iniesta akituacha ni very sad nothing we can do imebidi i think ni busara zake pia kuwapa nafasi hawa madogo wacheze ila daah no replacement aisee team morale inapungua
 
Ni kweli hakuna replacement lkn nauhakika Roberto ataweza kucheza vzr. Dogo ni mpambanaji vilivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom